mwambie nikatae irudishwe ili mzee akanunue mbegu wapande😁
2026-09-18 18:48:33
7
KATAVI BOY :
ila ww duuuh
2026-09-18 04:31:07
2
official_V Lui$⛎ :
😂😂😂unatumiwa elfu 10 utumie mwezi mzma, na haitakiwi upige simu kabla mwezi haujaisha
2026-09-18 19:37:35
3
son_chalamila :
sema umeanza vizuri sana mwanetu ila apo ulipo maliza dah
2026-09-19 07:25:19
1
Lee Istre :
We Unatumia on spot 😂sisi tunaambiw a Nikipata mwnaang
2026-09-18 07:04:35
1
cypher's creed :
sas leo nakufollow
2026-09-18 09:16:30
1
Nenga Tz :
iyo kauli imenikumbusha mbali kwel ila maisha ya shule 😅😅👐👣
2026-09-18 14:51:46
2
chriss :
🤣🤣🤣🤣Kwan ulikuaga wap
2026-09-19 15:46:35
0
Enecah :
🤣😂
2026-09-19 17:00:43
0
RUN🤫 :
we jau
2026-09-18 09:17:43
1
EMANUEL ITAMBU :
😁😁 m jamaa yangu nje na boom anapewa tena boom jingine kutoka home
2026-09-18 08:58:41
1
Specialist 🚚 :
Ilibidi ukatae 😅😅😅
2026-09-19 06:15:37
0
La_Saba_B✝️😂 :
Mimi Rafiki Yangu alikuwa anasema "Mtu Unakaaje Shule Huendi Hata Bar & Club😂🔥
2026-09-19 08:37:59
0
&FURAHA@ :
🤣🤣
2026-09-19 22:14:54
0
kingkola@chuganation :
Aliamka kwetu asubuhi akawahi 🍽 room akakuta hakuna kitu akaenda kumgongea bmkubwa....za asubuh mama tunakula nn au kuna sehemu ya kuagiza chakula tumuagize mtu haraka njaa inanisumbua
2026-09-20 02:55:06
0
Reggie Masai :
nilichokipenda mkuu haijaweza moto kwenye tv kama wengine
2026-09-19 11:59:14
0
champers🇹🇿 :
Mimi alikuja kwetu alikataa kula kwa mkono anataka kijiko😂😂😂
2026-09-19 14:50:03
0
Pierre....H :
kumbe na wewe wakishua mwanetu
2026-09-18 19:15:49
1
To see more videos from user @gaspercomic, please go to the Tikwm
homepage.