@mrfessy: Wasanii huwa wanakua na vibe kipindi wanaenda studio kufanya nyimbo lakini baada ya kufanya nyimbo wa nashindwa wap waipeleke Msanii inatakiwa ujifunze kufanya promo ya nguvu after nyimbo kutoka

MrFessy
MrFessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 04:40:08 GMT
21669
2765
167
86

Music

Download

Comments

thegiantacademician
Sikia Academy :
hey me naimba cover za 2 pac Tunafanyaje bro kibizness??
2026-09-24 15:35:33
0
matiboy006
matiboy006 :
wasanii upcoming wengi cio km hawajui kufanya promo shida ya wengi ni finance ...promo zinahitaji helaa na gharama ni kubwa kuliko ata gharama za studioo......
2026-09-19 00:33:06
12
ceebroune
Cee Broune :
umeniongelea mimi waaalaa. bt niko na strategy ya hii promo na my next release apo ndio naweka time wangu
2026-09-22 18:30:24
1
young.dizzy.cravi
Young Dizzy craving :
kak nisaidie
2026-09-24 15:25:12
0
mwana_suzi
Bushboi Africa :
Daah kaka Sanamu lako lijengwe wapi🙏
2026-09-18 16:24:03
0
pineapplemelodymaster
Pineapple Melodymaster :
tunajifunza wapi promo sasa
2026-09-21 14:28:35
0
shadrack_daddy
Shadrack Daddy :
sasa nifanyeje
2026-09-18 17:24:58
0
ngombethelegendofficial
Ng'ombe The Legend Official :
Unaongea point saana mengi ya maaana ya kuchukua 🔥🔥🔥👏👏
2026-09-22 19:06:53
0
antony.boy93
Antony Boy :
𝗸𝗼𝗻𝗸𝗶 𝘀𝗻 🔥🔥
2026-09-19 22:45:03
0
wavessoiconic
Waves So Iconic :
point of correction si ati hawajui,tatizo hela ya promo jomba
2026-09-20 20:13:59
0
tzsirecha
Sirecha :
hapo umenisema mm
2026-09-18 19:13:47
0
arontheonest
Ron.Brand.. :
kwel kak respect kak
2026-09-18 21:44:15
0
supergmusic
X elevenC :
Daaah nyimbo zangu nying zipozipo tyu ila ni Kali San et
2026-09-18 11:41:06
0
luta.de.boy
luta de official🎙️🎶 :
apo umesema 🔥🔥
2026-09-18 13:58:06
0
ibrix_official
IbriX :
kweli bro
2026-09-18 12:29:55
0
boy_wonder4274
BOY WONDER🇳🇬 :
sahihi
2026-09-18 16:44:57
0
braxkhan49
°💐👇BRAX 🤴KHAN👈=Tz OFFICIAL :
kweli kaka
2026-09-18 12:06:26
0
fkindude
F kindude :
kweliiii
2026-09-21 14:48:36
0
white.tiger706
White tiger :
daah ni kweli bro fessy
2026-09-18 14:08:14
0
testar_fans
nachenga vitalis. :
umeelezea vizuri but . ukweli promo haifanyi nyimbo kwenda ila ni ubora wa kazi
2026-09-22 05:32:27
0
saintmalovee_
G I A N T :
dah! nikajuw ni mm tuh🤣
2026-09-18 12:01:33
1
pnicetz1
P Nice Africa2 :
Huyu mim 😂
2026-09-18 12:00:09
2
weka2wekemtove
WEKA2WEKE :
huyo ni Mimi Sasa du sijui umenijuaje😁😁😁 Niko na Ngoma Kali inaitwa uliza bei khaaa ni nouma ila imeishia kupata viewers 350 YouTube na streams mia Tano bomplay
2026-09-18 13:05:40
1
melodykay254
melodykay :
TUONGEE BY MELODY KAY Ngoma Kali lakini unapromote lakini wapi🥹
2026-09-18 18:36:48
0
wazfad12
WaZFad🦎 :
fact mkubwa
2026-09-18 08:55:20
0
To see more videos from user @mrfessy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About