@nolly_one0: Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Raja Casablanca, Pape Sakho, ameibua gumzo baada ya kuacha ujumbe kwenye post rasmi ya Simba SC. Sakho aliipongeza Simba kwa ushindi wa jana, kisha akaongeza maneno machache yaliyowasha mjadala kwa kusema: “Ninakuja hivi karibuni.” 👀🔥 Kwa sasa, Sakho yupo bila klabu baada ya kuachana na Raja Casablanca, kufuatia kuondoka kwa kocha Fadlu Davids ambaye alikuwa akimpa nafasi zaidi. 🤔🦁 Ikiwa kweli anarejea Simba, atachukua nafasi ya nani kwenye kikosi? #SimbaSC #PapeSakho#tanzaniantiktok🇹🇿 #NguvuMoja

nolly_one
nolly_one
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 04:42:50 GMT
17228
1545
57
18

Music

Download

Comments

miriamlucas935
Miriam miss simba🦁❤️ :
you are welcome my brother
2026-09-18 07:17:32
1
alena.frank46
alena frank :
welcome my bro[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-18 10:21:24
0
user75451269835315
bravoo k :
yes nivizr
2026-09-18 13:11:11
0
salehe.mohamedi1995
baba Ashrafu :
asa. akija na huyu ujue Kuna timu zitaacha ndala
2026-09-18 06:20:57
11
mwamba4715
Mwamba🤭 :
Kudaadek simba itakuw moto sana libase, Aura, mpanzu, chama, sakho🥰🥰🥰
2026-09-18 09:34:25
16
johnndama12
official ndama %🇹🇿 :
aaaaaaa unatucherewesha
2026-09-18 12:51:10
0
priscatsoray
prettytsoray😘 :
you're welcome brother
2026-09-18 08:14:45
0
triple.s2367
triple s :
atuna bay nawe kiongoz
2026-09-18 09:19:57
10
amani.joseph665
Amani joseph :
karb sana wanasimba tunakusubiry kakaaaaa
2026-09-18 08:45:34
9
tiktok.comitsme81
It's me💜🤍 :
msisahau kumrejesha na Steve mukwala
2026-09-18 09:52:30
4
kingxhannara5
kingxhannara :
Kwan Hali hii tutapta nyimbo nyng za Simba kam sakho akirud kutakuwa na moto alf tunamtupa mpanzu[Tears of joy]
2026-09-18 12:44:35
1
baraka.jackosango
BOJO D. :
aje ata leo
2026-09-18 09:19:41
2
user9095616003082
samu :
aje2 bado hatuja msahau kaka
2026-09-18 11:10:22
1
kaboss.kaboss40
Kaboss Kaboss :
nyumban ni nyumban karib tena
2026-09-18 09:04:33
1
roselaurian4
Rosem🎖❤️ :
hii simba watu watakufa ani❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-18 10:36:36
1
mrjb98
mrjb98 :
Mpanzuuuu namfikiria kwanza ngoja nitakuja na jibu😂😂😂
2026-09-18 10:43:22
1
makwaya318
Makwaya :
mamaeee simba tutauwa jitu
2026-09-18 12:32:45
0
user131237610368
kime b2 :
jamani iwe kwelii
2026-09-18 12:33:05
0
user7358128687137
kiba boy :
aleje tu na sisi tutamb msim huuu
2026-09-18 11:30:07
0
dmkali5
dmkali5 :
Yani akirud tu Kuna majirani watahama ligi maan balaa
2026-09-18 11:09:27
0
dogzu902
Mido K :
karibu
2026-09-18 13:19:18
0
shams.fact254
ŠĤĂMŚ 🎤 :
dah upatane moto wa Chama,sakho na libase, oura hahhaaha🙌
2026-09-18 12:04:06
0
emmanuely.julius6
Emmanuely julius :
Hawa ndo wanafaa kucheza simba kwanza aipende timu yetu karibu sana Pape Sakho
2026-09-18 11:42:54
0
anwaryy6
Anwaryy :
njoo kiongozi
2026-09-18 11:41:56
0
joshua.benny8
joshua benny :
2026-09-18 06:02:06
0
To see more videos from user @nolly_one0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About