@wizara.ya.ardhi:

WIZARA YA ARDHI
WIZARA YA ARDHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 04:45:47 GMT
7651
136
9
23

Music

Download

Comments

georginamshani
georginamshani :
Mbona mimi nina eneo serikali imechukua inasema kwamba serikali imebadilisha matumiza imempa Tfs, nilikuwa nimepanda mgomba ya ndizi, magimbi, viazi mbatata. upande mwingine nilikuwa nafiatua blocks, mheshimiwa waziri je unawezi kutumia sheria pasipo kusikiliza pande zote mbili? Wewe umenikuta hapa zaidi ya miaka 30 lakini unachoka mchoro mpya, naomba unipe appointment ili nije nikuone kwasababu huku wilaya ya mbozi unyanyasaji wakupokonya maeneo eti serikali ikifanya maamuzi yakuchukua eneo inachukua tu, lakini hayo nimaonezi.
2026-09-18 08:12:52
1
tall3938
tall39 :
hili tatizo lipo Dar es salaam hasa Mbopo
2026-09-26 03:25:28
0
md556304
MD :
Ila hata serikali inavamia maeneo ya watu kwa kulipa fidia kidogo alafu wao wanauza mara elfu, waliwahi kuchukua ardhi kwa shs 6,500,000 kwa eka alafu wao bila hata kuifanyia chochote hiyo ardhi wakauza kwa 80,000,000/-
2026-09-18 08:47:53
2
kambembe_technology
KAMBEMBE_TECHNOLOGY :
dodoma kumejaa uonevu tena mjini nahamtatui matatizo kwakufika eneo husika
2026-09-18 06:15:42
2
user70145655537616
dume la nyani :
mh hao wanashirikiana na hofisi za kijiji pamoja na mahakama za ardhi za mwanzo
2026-09-18 05:44:03
1
rashid.thabit
Rashid Thabit :
kata nyingi tu wafugaji na wakulima shida tu
2026-09-20 17:51:41
0
csi_203
user737337727272 :
serikali inawalea Sana wavamizi tena kwa muda mrefu. awa wavamizi ni walewale kila mkoa,yani ni mradi
2026-09-18 16:49:24
1
muna.bhai573
Muna Bhai :
Je Wale Wananchi Waliovamiwa Na Wababe Hao Hao Na Wamekwenda Mahakamani Mpaka Leo Wanasumbuliwa Na Wameweka Ulinzi Wao Mpaka Wamejenga Ukuta Dahh Mtohani Sana
2026-09-27 14:45:20
0
To see more videos from user @wizara.ya.ardhi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About