@zaystrawberry:

ZAITOON🍓
ZAITOON🍓
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 04:47:25 GMT
104684
6850
187
78

Music

Download

Comments

gee77590
gee :
musimuue na presha kak angu Enzo jmn muache Kwan nyie hamupendi😂😂
2026-09-18 06:21:08
7
simugala
Anna Fanuel :
hivi ni mimi tu Enzo ananikwaza au
2026-09-18 08:41:04
70
philippinesqueen09
sarah♎️✨️ :
devis yuko sawa kwa enzo kuondoka je ndo itakua solution ya tatizo au ndo itakua ndo chance ya was kua huru?😁
2026-09-18 08:59:47
19
domisia.kangila
Domisia Kangila :
mi ananiuz anavong'ang'ania kukaa kwa watu
2026-09-18 07:53:13
11
sara.mwalim
Sara🤍🍓 :
Davis Ndio kaka sasa
2026-09-18 05:26:45
47
mrsabby63
debby :
ila Davis nimempenda bure
2026-09-18 05:32:41
37
sebby.badi
sebby badi :
Safi sana device
2026-09-18 05:32:23
13
casia1
casia1 :
Devis niko na wew bega kwa bega ad enzo aondoke😍
2026-09-18 07:35:59
37
hudaaemmy
nana # :
jamani ila huyo enzo hajihurumii maana yule baba akijua kama anatoka na mke wake mbona hatari ila devi umenifurahisha👍
2026-09-18 06:04:34
35
juliyzena1
zena juliana :
Devis amesimama km shemeji na kaka safi kabisa
2026-09-18 06:39:06
41
user9933766752353
user9933766752353 :
devis sasa kasimama kama kaka
2026-09-18 05:52:25
24
abouberckary
it's__kayooh👑 :
davis he is genius 🔥
2026-09-18 05:42:21
14
mozesikomba
Mozesi Komba :
devis ukosawa kabisa
2026-09-18 05:26:37
10
lulusosp930
Lulu :
Siri sio siri tenaaa😂😂😂
2026-09-18 06:02:44
7
scholajoram
scholajoram :
kwa ajili ya usalama wao ni bora akubali ushauri wa Davis, maana litawakuta jambo baya kutoka kwa Patrick
2026-09-18 05:58:30
10
pambika_
Pambika Tabora :
Davis umesha chelewa broo😂
2026-09-18 06:46:32
7
gfaus92
Miss.G Faustine :
Jamani kaka angu wa siku ni Davis 😀😀😀 Manake si kwa huu ukaka alioonyesha 🙌🏾😍
2026-09-18 10:42:23
5
user8882271158200
itika faraja :
nasikia kuvurugwa mnaweza kuniteng na mtu ninaye mpend
2026-09-18 07:19:54
5
nswaum.mrishidi
nSwaum Mrishidi :
nakuunga mkono devis
2026-09-18 05:51:36
8
salimanadine
l amour de Dieu :
nzuri saaaana david
2026-09-18 05:11:22
5
wedda77
wedda :
yupo sahihi david
2026-09-18 05:23:06
6
yohana.labia5
Yohana Labia :
Safi kabisa kaka Devis amesimama kiume
2026-09-19 10:44:53
3
useryasher1
aysherhussein :
davis muhame wote sio ahame enzo pekeake
2026-09-18 09:03:12
3
mashycollections
Mashy Collections :
Ndio matatizo ya kufanya kazi na families maana maugomvi yanafikishwa mpaka makazini🧐🤨 kazi hazifanyiki!!
2026-09-18 10:04:20
3
anna.kinga43
Anna kinga :
enzo stay away 🤣🤣🤣🤣
2026-09-18 07:32:13
3
To see more videos from user @zaystrawberry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About