hiii nyimbo nilikuwa sipendi kuisikiliza nikiwa na wazaz
2026-09-18 09:49:52
73
🌸🌸🌸 :
Free dullvan
2026-09-18 16:55:48
1
Zidane Omben :
amka haraka tu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 09:34:48
0
🅻🅴🆅🅴🅻 :
mwanza iyo
2026-09-18 19:53:56
0
Sophia Mmasa :
Nilikimbia umande sahi niko winga 😂
2026-09-18 10:37:33
20
Mom A2 💕 :
mm ndo nausikia leo huo wimbo wenu,
2026-09-18 17:32:30
11
Ineza :
Basi tu tulikua vichwa vigumu haki vileee maisha saivi yanavyotunyooshaaa tunatamani hata hizi siku zirudi nyuma urudi udogoni 🥺
2026-09-18 09:27:03
26
lykha bae :
Nmekumbuka mbal jmn🥹
2026-09-18 10:25:27
8
Alice Mitema :
This song🥰🥰
2026-09-18 16:48:17
0
Aiem- Noor🦋 :
Duuh had nakumbuka nilivyokuwa nahimizwaaa🥹
2026-09-18 09:58:17
10
Teddy :
duuuh hii inauma
2026-09-18 09:23:37
1
e.movie :
unamwekea nani sasa mm naumwaaa
2026-09-18 18:55:39
3
Rehema ericky :
Hii nyimbo jamn 😔😢nakumbuka Alevel BFF wang aliigiza Kama igizo af akavaa nguo zilizochanika akafany kam ye Ndo mzazi anamuasa mtot wake aisee nililia hii siku sitosahau 😭
2026-09-18 13:17:26
9
charzy_likertz :
Hii nyimbo ukiwa we ndo mwanafunz huwez elewa mbaka utoke shule uingie mtaa🔥
2026-09-18 14:44:36
5
rene de daniely :
rest in peace my Dady😭😭😭
2026-09-18 13:41:59
0
Anny baby🦋❤️💫🌹 :
nampenda baba angu jmn mungu amlinde japo hana kazi nzuri ila anajali familia yake
2026-09-18 11:17:35
6
mkali :
ety umu Kila mtu baba ake alikuwa anamuwekea hii nyimbo 😂😂 i🤣 hayo bhn 🙌🙌
2026-09-18 13:39:50
8
SAM~66 🦁✌️ :
2026-09-18 10:39:39
0
cecy ❣️ :
kuna siku Baba aliuweka akaongeza na sauti 😂😂🙌🏼
2026-09-18 19:14:51
2
official jubie@49 :
mm hata angeeka wimbo wa taifa siamki😂
2026-09-18 19:46:18
4
Herselftz :
Nilikuaa siipendi hii nyimbo😅😅😅😅 sahivi nauza matunda🤣
2026-09-18 20:00:59
1
MISS ZUU❤️💦 :
daaaah😭😭😭😭
2026-09-18 12:21:39
2
linahwiso :
nilijaribu kushika elimu lkn ikateleza😂
2026-09-18 16:25:01
3
To see more videos from user @imanmbiri, please go to the Tikwm
homepage.