Mtoto wangu niende muona kwa mavasi rasmi for what? Ukiwaza watu wata kuonaje au watasema nini ni mtumwa wa maisha ya watu wengine
2026-09-18 05:47:29
5
Moeli Maprofessery :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] skuna
2026-09-18 12:14:54
0
shazia :
yaan mm mwanagu sijawah muangusha mpka wenzake wanamwabia mama ako kavaa vizur
2026-09-18 06:36:13
7
mbkapilima :
ila daluluuu shikamoooo🤣🤣
2026-09-18 06:26:43
2
Swabaha :
mimi mwangu at nivae tambala anajivuniy kuw namim ten ananikimbiliy nakunitambulsh kwa bashash kwa malafik zak jamn uy mama ang jamn nampend san mwanang
2026-09-18 06:27:37
7
Emma :
Jamani mama yangu alikua anapendezaga sana hadi raha🥰 love u mom
2026-09-18 07:28:21
5
CAPTAIN MARVEL - 9 :
Bora umeongea ukwel Dada lulu
2026-09-18 09:50:01
4
lily kimaro :
🤣
2026-09-18 07:01:41
1
ummy warda :
Kwakweliii ukienda umependeza hadi mtoto anaona raha wallah
2026-09-18 08:49:18
4
ROMMY🧢🍂 :
alhamdulillah mama angu ajawai kuniangusha😂😂
2026-09-18 06:40:37
1
cutymwana0 :
Ndio naamka niende sasa 🤣
2026-09-18 05:43:11
1
❤💫Baby Mama🌹😍🫶 :
Wallah Me Namshukuru Sana Mamangu Yan Alikua Akija Shule Mpaka Wazaz Wanageuka Kumuangalia[Heartwarming] Alikua Anapendeza Mashaaallah
2026-09-18 08:04:31
1
flola :
😂😂😂
2026-09-18 05:41:19
1
dutch_closet_collection :
Tumefikiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-18 09:03:00
1
Mama D :
sasa mim nilienda lakin wakakataa sii mtoto wangu kupendeza Nako shida nikabaki kujieleza adi wanielewe ilikuwa kazi kubwa mwanang akawa analia2 wanamwambia uyo atakuwa dadako sii mamako
2026-09-18 07:56:21
1
🧿🌸husna 🍎 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Nimekumbuka dada angu mungu wangu mtoto wake akamwambia mama tutaongea alaf ni kaka mkuu shuleni
2026-09-18 06:37:04
1
Sarah the boss lady store :
umeongea ukweli kabisa
2026-09-18 12:56:05
0
mamushka Jr :
jamani😁🙌
2026-09-18 12:45:45
0
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-09-18 12:39:36
0
_sarahtaste :
Mama angu alikujaga na nguo fupiiiii na kiatu kirefu alipendeza ila aibu niliona mimi topic ya shule nilikua mimi
2026-09-18 12:36:36
0
Fatuma Lusulo :
kweli kipenz point
2026-09-18 12:54:22
0
To see more videos from user @luluwhite272, please go to the Tikwm
homepage.