labda sio kwa ukorofi wangu wa kinyiramba ningeenda nae kwa ashura😂😂
2026-09-18 16:16:56
154
DEOGRATIUS CANADA 🇨🇦 :
Watanzania wenzangu njooni kazi Canada 🇨🇦
2026-09-18 13:46:36
26
Irène Sie :
the suite
2026-09-20 04:46:13
0
Alinda Elias :
yani mm ninavyojijua [Big LOL][Big LOL]
2026-09-20 03:57:32
0
_mwamadi_ :
Huku Kenya hakuna maziwa jameni😭😭😭😅
2026-09-18 18:28:05
25
Jaz :
Mimi na huyo boda aste aste Hadi kwa Ashura tukapike huko ..ala!!😂😂
2026-09-19 09:03:59
23
user9347354150543 :
this men will once kill us😂😂
2026-09-18 19:08:57
0
user5440494361063 :
imewahi mtokea jiran yangu, mwanaume kanunua debe la mchele na chenga,wakat wa kupeleka Sasa boda kajichanganya mchele kaleta Kwa b mkubwa chenga Kwa b mdogo, 😄😄huwez amini boda alirudi kesho yake asubui na chenga akachukua debe la mchele, nae jiran akamwambia nenda navyo vyote na mm sitaki chenga
2026-09-18 08:24:55
66
J Queen :
😅😅😅me ningeenda naboda had kwamke mdog
2026-09-18 10:30:48
61
Mrs Allen :
Content ya zamani ya mzee small Marehemu
2026-09-18 07:48:14
63
Zainabu Mandai :
nmcheka kwa sauti😂😂😂
2026-09-18 05:43:49
15
Iris :
Yani hapo ni Mimi, boda na mzigo mpaka kwa ashura
2026-09-18 09:47:35
20
💗PINK WITE💞💞 :
nashindwa kuwaelewa wanaume
2026-09-18 20:41:56
5
Mchilda 🥰 :
Vya ashura😁😁😁
2026-09-18 07:58:32
15
ZUHURA 💜🥵🫦 :
allow me time to say two things
1 thing
2 thing
2026-09-19 05:39:51
1
mpunjabi :
ahaha acha vitu vyangu😄
2026-09-18 10:42:06
10
jackline :
ashulaa nipo hapa
2026-09-18 09:39:26
11
Yusuph mdaki :
boda kaleta balaa (zamani ilikuwa mesenja kaleta balaa)
2026-09-18 07:52:56
23
ney Joseph :
mm mwenyewe simpi
2026-09-18 08:21:53
6
essy 💕💕 :
ctakubali
2026-09-18 06:37:21
15
gradwelkavishe :
Toba
2026-09-18 07:21:44
7
Ashula :
jamani mbona namie ashura vije kwangua haraka nipike😂😂 kina ashura tujuane
2026-09-18 12:50:59
5
Melophile Ke,🇰🇪 :
I have been following you very closely from Kenya, and I really, really love your Swahili. I would be so happy if I could meet you one day.
2026-09-18 12:17:44
5
To see more videos from user @fatma_desire, please go to the Tikwm
homepage.