mafanikio (success) ni kupata hitajio kwaio hatuwezi kuwa sawa kwenye tunavyo vihitaji; mwingine mafanikio yake ni ndoa, utajiri, amani, uongozi wengine ni kufaulu shule 🧠
2026-09-18 06:23:56
2
mwashoq :
mafanikio makuu duniani ni amani na afya njema
2026-09-18 06:07:11
2
NNS :
True kabisa usipokuwa na amani bc
2026-09-18 06:43:51
1
To see more videos from user @fikrazetu, please go to the Tikwm
homepage.