@prophet_isaiah_mkailwa: ✍️Huu ni uongo wa shetani kabisa aisee😭. 📌Warumi 14:17 Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu.
nmeshuka mpka chini nlkuwa natafuta comment za proud to be nmekosa🤣🤣🤣
2026-09-18 16:56:15
0
nancynzioka281 :
are you sure 😄[Laugh approved] of what you are talking
2026-09-18 18:01:01
0
Ciriac Mrosso :
ss kitu mmekatazw kunywa huku inakuaj mbingun tunywe ss
2026-09-18 12:03:35
10
mtoto wa mama :
jaman Bwana yesu analudi tubuni mapema ukimbieni upotevu mwana wa adamu anawahitaji
2026-09-18 10:19:30
8
Dewmore? :
🤣🤣🤣🤣tutagida
2026-09-18 17:56:09
0
samwelnkya4 :
sasa kama kule ipo kwanin msianzie apa
2026-09-18 12:59:22
5
ulugulu :
mbona hata yesu anasema mtakunya na mm pembezoni kwa bwana , what's funny?
2026-09-18 10:02:24
3
Major Kiddie :
Si muanze tu humu duniani
2026-09-18 10:52:59
0
Desantos Elisantinyo :
na kitimoto tutakula sema Amina😂😂😂
2026-09-18 18:16:54
1
Hamax shera :
poleni
2026-09-18 13:13:45
1
it's- melalin🍓🥰 :
😂😂me ndomana mkisemaga sisi wotee Mungu mmojaaa huwa nabishaaa jmn
2026-09-18 16:26:50
2
sir kulwa :
Jamn jamn
2026-09-18 12:11:44
1
chareety :
YESU anawapenda wapendwa ❤️
2026-09-18 09:06:20
0
jei69♍️ :
kwa shetani ndio kuna pombe
2026-09-18 10:13:53
0
Adonis Minga |SHIVO📈 :
Lakini si Peponi sio kwa Mungu
2026-09-18 10:25:25
0
jameskasuga_ :
hapakuna shida tena hii nihatali
2026-09-18 12:03:03
0
Y mariki :
shehe yupo sahihi
2026-09-18 15:36:21
0
father patson :
😅😅 bado mtasema ukweli twende taratibu
2026-09-18 14:35:47
0
Frank Kalikisha34 :
ila hawa jamaaa hawa duhhh
2026-09-18 14:11:37
0
@Mama :
peponi hakuna kula wala kunywa
2026-09-18 10:07:03
0
ezrevic :
Me nachoka na haya mambo jmn
2026-09-18 08:09:43
2
Dickson Kyaruzi :
Kazi tunayo kuwapa maarifa ya kiUngu
2026-09-18 09:29:07
0
Mr umeme :
Kuna aya shekh kaacha inasema pombe ambayo haimfanyi mtu achanganyikiwe akili wala maumivu ya kichwa
2026-09-18 19:06:02
0
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
ACHANA BASI 😂😂 MBONA SUALA LA POMBE HATA KWENYE BIBLIA SIO DHAMBI KUNA WATU WAMEFANYA ZINAA NA BABA YAO KISA POMBE NA HAWAJAPEWA ADHABU YEYOTE ILE WALA LAANA
2026-09-18 16:56:45
0
To see more videos from user @prophet_isaiah_mkailwa, please go to the Tikwm
homepage.