@allybanza08: Kwanini hufanyi Mpaka uwe na Dem, jipende wewe FALA 🤣 #swahilitiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #storytime

Ally Banza 🍃
Ally Banza 🍃
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 06:57:15 GMT
45175
3672
283
193

Music

Download

Comments

ms_miry10
miry🦋 :
tell them bro[Tears of joy]
2026-09-22 19:32:08
8
gwantana113
~TEMPA MJAPANI 113⚠️ :
unajua nini kaka tukiamua kuwa single tujipende mara unaanza kuskia mtaan yule Dem anqkukubl inabidi ukarushe🤣🤣
2026-09-18 10:35:59
26
user62693106616184
kidula :
uhakika kaka nakubali
2026-09-29 12:07:07
2
useremmanueljihn
Ejm-_-696..🌻🇹🇿 :
Nadhani me ndo napitia hiyo hali broo 🤣🤣🤣
2026-09-18 11:28:29
9
kescotz1
BM🍷 :
kaka we ungemalizia ty Wanakuchota nin 🤣🤣🙌
2026-09-20 03:27:50
3
jeniphersteven5
Jenzy ✨ :
huyu wangu kila siku anakula vizur na kuvaa vzur au kila siku Yuko na dem🥺🥺🥺
2026-09-18 07:08:39
8
lil.sambe
☦️ M A D U R O 🥀 :
Anko unaongea point kubabake💪💪🔥🔥🔥
2026-10-04 23:24:53
3
tivachriss
Tivachriss :
wakati uki pendezi hata wa chumba wana jiletea wenyewe yani
2026-09-18 13:47:17
14
hsmcalix
beach_boy 🏄‍♂️ :
ahh sio mm broo
2026-10-08 16:10:53
1
the_realvance
Z A Y R O N O I R :
me ndo sinaga nguo ya kutokea au lah. au nguo ilioandaliwa itavaliwa siku flani asee sina
2026-09-28 22:09:55
1
therealmonster_1
Rap Juswise :
oya mimi juzi nimeagiza kitimoto kg1 na chipsi nikula naasubuli nimeamkia kipolo self happy
2026-09-18 14:25:52
5
gtechsecurity255
Inno Installer 🇹🇿🔌 :
sawa umetusanua
2026-09-20 10:23:22
2
hakizimanashabani
Hakizimana Shabani :
kula maisha kula maisha kula maisha kula maisha
2026-09-18 20:26:59
1
evelynebutoyi710
Evelyne Butoyi :
😀😀😀😀 sema kimeumana 😀😀😀😀
2026-09-18 18:12:37
1
user1090311469476
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 13:01:39
7
sudyjuma
sudyjuma :
respect kwangu niliejipenda Toka nikiwa mvulana kwa kula na kufanya nikipendacho nikiwa peke angu
2026-09-18 13:18:59
1
its.mani81
It's Mani :
Kaka kasema kwisha 😂🙌🏽
2026-09-18 08:19:55
1
user4171161758205
muna :
ndioo
2026-09-18 18:58:54
1
ivan.godfrey0
Ivan Godfrey :
nimuhimu kujipenda kabla ujampenda mtuuu
2026-09-18 17:49:45
2
chris.deprince7
Chris De'prince :
Et fala nn 😂😂
2026-09-18 10:47:28
1
reubenickson255
Nickson Reo👣 :
bro mbona kamaaaa unanijuaaa
2026-09-22 12:45:56
1
officiald223
official D :
mm hata nikiwa na dem sitoki siend popotee hiii nayo ya kutoka mungu alininyima siwez kutoka an niende tu nikatembee for nothing hapna nilishindwa🤣
2026-09-18 18:15:54
2
son_00_11
son_00_11 :
Jau sanaaa aiseee
2026-09-18 12:09:35
3
londo_tz0
Londo Tz :
😹😹😹😹sahihi kaka
2026-09-18 14:38:27
2
winniefrank698
winnie frank :
ila kujpenda ndo ki2 najua😅😂
2026-09-18 07:14:10
1
To see more videos from user @allybanza08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About