@mwl.emilian.katub7: Kila chenye mwanzo huwa kina mwisho wake pia Hata Hana alilia na kuchekwa na Penina lakini muda ulifika Mungu akamkumbuka Majira yako ya kuvuka yamekaribia, utayasahau hayo machozi, utaisahau hiyo aibu katika jina la Yesu Your time is coming!!!!!!!!!
Saa yangu yakukiri ushindi na uwepo wa mungu imefika kwajina la yesu sitaliya tena bali ntawashangaza upendo wa mungu
2026-09-18 07:36:30
21
Mamu Beauty Salon :
Saa Ya Ushindi wangu imefika,Natoka kwenye Vita ya Magonjwa Natoka kwenye vilio,Natoka kwenye Msiba,Natoka kwenye umasikini,Kwa Jina la Yesu Napokea Yale Mungu aliyoyakusudia Katika Maisha yangu Kwa Jina la Yesu Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-19 02:59:18
4
Jay :
Amen Amen Amen baba napokea kwa jina la Yesu Ameni
2026-09-19 19:58:00
6
peter nduati :
Huwa unanipea nguvu ya kuendelea wakati nimeshikia nimeshnda
2026-09-18 16:45:59
4
Sara :
Amen in Jesus name 🙏
2026-09-27 16:29:54
2
@Jaywinenterprise 2 :
Amina napokea ushindi wangu katika jina la yesu
2026-10-25 18:51:07
2
baby ❣️ beautiful ❤️ :
Amen Amen
2026-09-27 05:59:09
0
Tyinah🥰 :
Ameeen barikiwa sanaaaa mtumishi wa Mungu🥰
2026-09-18 07:53:11
3
@acuity.Angel💫💫 :
Amina
2026-10-07 04:23:05
1
Fides John :
Ameeen mtumishi.
2026-09-18 09:08:54
3
mourine matinde :
Ameeeeeeeeeeeeeeeen
2026-09-18 14:45:20
1
careen mom :
Amina naiwe ivyo kama ulivyosema
2026-09-18 18:25:59
1
judithjj :
amen amen amen mungu azindi kuku baliki baba
2026-09-22 10:07:27
1
Happy Ayubu :
Amina
2026-10-09 21:12:20
0
kevoo :
Ameen ameen mchungaji naomba Mungu anifungulie nipate kazi katika jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏
2026-09-21 09:17:16
1
annamkunte7 :
Amen napokea kwa jina la yesu🙏🏻🙏🏻
2026-09-20 01:27:24
1
prophett issa julles kamboje :
mimi nasema kweli Tanzania zima akuna mtumishi wakwali kama wewe
2026-09-18 07:26:03
1
vitalismumba482 :
saa yangu ya kutoka mabaya yote na kutoka ktk umaskini umefika
2026-09-18 10:45:50
2
juliet wera :
Ameeeeeen katika jina la yesu kristoro 🙏
2026-09-19 09:36:23
1
NK💓 :
Amina Amina Amina katika jina la Yesu
2026-10-27 20:00:26
1
Fav 🤪 :
Amen kilicho na mwanzo kina mwisho in the name of Jesus Christ
2026-09-19 16:16:28
2
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.