@_zuzaism: Part 215 | Tunazungumzia siri ya shaba kama chuma takatifu kilichotumiwa na watawala wa kale, waganga na wanafikra kwa ajili ya kulinda nishati ya mwili na kuvuta utajiri. Tunaeleza jinsi shaba inavyofanya kazi kama conductor wa nishati, kusaidia afya ya moyo, figo, na mfumo wa fahamu, na pia kusawazisha chakras na kuvuta fursa. Tunatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia shaba kwa manufaa ya kiroho na kimwili. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #cooper #electromagnetic
zuza
Region: TZ
Friday 18 September 2026 12:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Mshangazi Badra :
nilicho kupendea ujasema kuwa unauza iyo shaba bari umetoa iyo elimu baraka zangu ziwe nawee
2026-09-24 06:32:48
12
ashirafunyoka :
thanks bro
2026-09-26 16:41:54
1
Said Kasonta :
Nahitaji kupata shaba halisi
2026-09-18 14:26:12
7
Mkuru_GeNz :
hvi risasi ni shaba au chuma"""
2026-09-20 05:25:54
3
dodoma travellers :
shaba ndio kopa?
2026-09-20 05:47:43
2
Pinky :
Tunapata wapu hizo bangili za shaba tuvae
2026-09-18 16:42:08
6
Dickson Daniel :
Mambo ni mengi muda ni mchache
2026-09-18 23:29:02
7
simon :
zungumzia na saa maana watu wengi hawajui maana ya saa
2026-09-18 18:36:11
7
Christina patson♑ :
evolve quite or loudly until you become the wolf thyself 💹
2026-09-19 14:05:22
6
amfrodi :
sasa iyo shaba naipata wapi. na vipi naweza kuitambua shaka yenyewe ambayo so ya plastic???
2026-09-18 12:30:23
6
phantom sleight ♣️♣️ :
“I feel like I need to learn more about that.”bro
2026-09-18 19:46:07
6
RAM🎧DIZOOH 🎶 :
akili kubwa broh👊🏻
2026-09-25 05:55:32
1
GeofreyEmanuel :
Hapa sasa ndio nawaelewa wamasai.
Wamasai wanavaa sana hii.
2026-09-24 20:33:44
2
African Lady. :
2026-09-19 07:20:29
2
Unique man :
Una vitu vizuri sana kama mtu akikusikiliza Kwa makini.
2026-09-22 06:59:44
2
violin cover 🎻gosple&catholic :
Jero sio Shaba 😂😂
2026-09-24 09:14:42
1
Sawizzl26# :
Safi Sana Na Camera Man
2026-09-18 21:24:32
3
The Grand :
nishakupenda
2026-09-21 14:42:00
1
Muziki wa Gen Z 🎶😂 :
Vizuri
2026-09-19 05:16:41
2
mgastpimp :
waamshe kaka nakubalii🔥🔥🔥
2026-09-20 06:49:33
2
watchiwatch :
Shaba ndio kopa
2026-09-20 07:21:49
2
j :
leo ndio nimekuelewa
2026-09-20 20:20:55
2
Seiph Juma :
toka niaze kukusikiliza reo ndo nimekuerewa zaidi kwa asilimia💯
2026-09-19 05:27:42
4
apple Patrick :
hiyo ulovaa nayo ni shaba?
2026-09-19 05:58:07
4
SOMBA 🚛 :
we umejuaje?
2026-09-18 16:36:24
3
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.