@babually_investment: ๐Ÿญ MILIKI KIWANDA CHAKO KWA MILIONI 2.8 TU! ๐Ÿงฑ๐Ÿ”ฅ Una ndoto ya kuanzisha uzalishaji wa tofali lakini unaona mtaji ni mkubwa? Milioni 2.8 inaweza kuwa hatua yako ya kuanzia, kulingana na mashine, vifaa na mahitaji ya eneo lako. Usifikirie lazima uanze na kiwanda kikubwa. Anza kwa kiwango kinachoendana na uwezo wako, jenga soko, simamia gharama vizuri na reinvest faida ili kuongeza uzalishaji hatua kwa hatua. ๐Ÿ’ก Usisubiri uwe na milioni nyingi anza na uwezo ulio nao na jenga kiwanda chako hatua kwa hatua. ๐Ÿ“ž Babu Ally 0756654525 #BiasharaYaTofali #BrickMachine #Ujasiriamali #BusinessTips #MadeInTanzania

BabuAlly
BabuAlly
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 07:15:39 GMT
30648
602
31
80

Music

Download

Comments

kaza.but
kaza but :
Shane on camera man๐Ÿ˜…
2026-09-23 16:17:47
0
nelsonrobert4981
Nelson Robert :
mko wap
2026-09-19 16:44:56
0
nimekoma
Silvano Lujegi :
iko wapi
2026-09-19 06:46:41
0
makinisoft
Makinisoft Company Limited :
vipi kuhusu machine ya kuchanganya mchanga
2026-09-19 05:39:00
0
kalisttemba
smart boy :
tuna kushukuru sana bau aliy kwa hama sa kubwa
2026-09-19 17:43:24
1
user63936263939567
Rafdin :
hizi advertising zingine muwe mnachukua experts kuchukua video.maana hapo machine haionyeshwi ni muongeaji hata kama uko interested unaacha
2026-09-19 16:19:52
0
fredymwita85
Fred :
kaka vp kuna ya single
2026-09-18 22:20:49
0
mashae96
mashae :
ni auto au manually?
2026-09-18 12:43:08
0
choloi.choloi
Choloi Choloi :
hii ni ndoto yangu mungu nisaidie nifikie malengo
2026-09-18 19:53:18
0
benmagari
benardo kayange :
mchukua video vp tunataka kuona kunachouzwa sio uyo mjomba
2026-09-19 03:29:09
0
yanga_bngwa
INTROVERT :
โ–ถโ€ข ฤฑlฤฑฤฑlฤฑฤฑlฤฑlฤฑฤฑฤฑฤฑฤฑฤฑlฤฑฤฑฤฑฤฑlฤฑเฅค 12:01
2026-09-19 13:20:44
0
wauzaji_wa_container_tz
Wauzaji wa Empty container Tz :
good work
2026-09-18 08:39:15
1
g757090
G7 :
sasa cameraman badala ya kuonyesha bidhaa yupo busy na ww
2026-09-18 14:25:18
1
mosses_5
notification โš ๏ธ :
Camera man badala ya kurecord bidhaa inayouzwa ww unarecord mtu anaeongea, jitafakari kama umelazimishwa hiyo kazi achia wengine
2026-09-19 05:50:24
0
miss_independettz
miss independent tz :
Cameraman amefeli, badala ya kutuonyesha mashine yeye anakuonyesha wewe
2026-09-19 15:38:45
0
user6001844032422
user6001844032422 :
sasa mbona muda wote unaonekana wewe
2026-09-19 07:06:40
0
petermanyeselajr
Manyesela Jr :
tangazo Lote unaonekana wewe unacho kitangaza akionekani
2026-09-19 09:26:31
0
yahya.ali5294
Yahya Ali :
Mashine huioneshi sisi tunataka kuona mashine na kusikia mazungumzo yako tu lkn sio uonekane ww mana ww tunakujua kama Babu Ally
2026-09-20 10:23:08
0
To see more videos from user @babually_investment, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About