@young.sneez: #ajali

🇹🇿Captain tesha 🇹🇿
🇹🇿Captain tesha 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 07:15:59 GMT
15829
372
41
20

Music

Download

Comments

mulastar1
mulastar255 :
Harmonize amefwata nini huku?
2026-10-10 09:38:46
0
ambrose_mtz
Ambrose✨🇹🇿 :
Hapo zed zed linaenjoy jenyewe 🙌🤗
2026-10-10 11:17:55
0
strongfighter50
Fighter 🇹🇿 :
saiv mnaanza kuchukia hadi madereva wa serikali ambao wengine wanabeba wagonjwa na Ambulance na kuokoa maisha ,,,tunaji risk kwa ajili ya watanzania wote,,,daah nimeumia sana,,,,niwaombe watanzania kitu ambacho hujashuhudia usiwe mshabiki sana ,,,mtatuchukia mpaka ambao tunakaa tunawavusha watoto wenu barabarani na wanarudi salama,,,,mm kiukweli nmeumia sana but all in all ,,,fresh
2026-09-26 17:26:04
4
user9505203613035
user9505203613035 :
vp tena na huko kuna njia
2026-10-09 14:42:52
1
mzululaji.wa.taif
Mzululaji wa Taifa :
poleeeee sanaaaa aiseeeeee mwenetu wa 1hz ...... matumain mpo salama
2026-10-09 10:22:07
1
ezekielloylepayon1
Ezekiel loisujaki lepayon :
hili gari la crdb liliingia korongoni mbele ya mrijo njia ya kuja njoro
2026-10-10 18:06:42
0
fadhilikawawa
fadhili kawawa💪🦾 :
pole zake
2026-09-21 13:38:57
2
user5015615618361shalons
Sharoxe@ 47no :
oya tuambie basi kuna nini camera man
2026-09-18 16:02:35
1
frank.yugon.harun
frank yugon haruna :
walivyo kuwa wakuda wamewai kutoa plate namba
2026-09-19 11:39:31
2
mr.lee6278
Mr lee :
family kuna njia kwan hukoooo
2026-10-10 09:23:37
0
omarzumo
Omar zumo :
Kuna njia uko
2026-10-10 08:20:52
0
bboe001
bboe :
alikua an tk nn huko
2026-10-03 16:08:15
1
derevawamkoa4
dereva wa mkoa🏍️ :
mungu unazidi kuwajibu wa Tanzania
2026-09-21 19:47:43
2
malalejrtz
Malalejr :
RoadLife💪
2026-10-08 13:53:48
1
hellenandelwa
boss zombi :
kk up kimya sana
2026-09-18 16:15:39
1
mallumbobaraka
Mallumbo Baraka :
😔😔😔😔😔
2026-10-08 20:06:36
1
mtembezi_tnz
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ :
Mbona chuma imepak tu hapo 😅😅 race moja ya moto inachomoka
2026-09-19 14:38:12
5
qualfied_installers
Qualified Installers :
baada ya ile Subaru ni 1 h z 😆.
2026-10-05 06:02:49
1
user1986261516116
NGWAJIMA 01 :
imepaki hiyo 🤣🤣🤣
2026-09-20 04:59:43
1
korongo24
cadet :
bora ajapinduka chamsingi itengenezee njia uitoe
2026-09-26 00:56:45
1
respicius.rwekiza
Respicius Rwekiza :
mbona kama vile ndoo zaoktb 29
2026-09-18 12:13:51
1
justin_agustino3
Justin Agustino :
Huyu lazima ni wale wale
2026-09-18 17:03:57
1
hamzajosiasi
hamzajosiasi :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 07:10:44
1
samksam6
Mr ksam :
Ahaa mbona imepark tu otherwise taili zimelala upande ule
2026-10-08 23:52:42
1
jofftemba
jofftemba :
ililetwa maji...
2026-10-09 18:23:21
1
To see more videos from user @young.sneez, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About