@user7503719990120: zanzabr ya kale

mazrawi jr
mazrawi jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 07:19:15 GMT
20873
1521
172
184

Music

Download

Comments

ahmedarab9222
Ahmed Aziz :
1957 when queen Elizabeth visited Zanzibar
2026-09-22 14:39:34
1
user44599482172780momo
Aysher binti Athumani🇹🇿🇸🇦 :
me mtanganyika Ila nawashauri mjitawale wenyewe namlete ule utawala wakisultan cio huu wasiasa kila kitu nitakuwa Sawa kila la kheri insha'Allah
2026-09-19 07:12:59
16
bahusseny
mrbau_206 :
inshaallah utarudi sio mda ni subra na kufanya kazi ya Allah ya kuamrisha mema na kukataza mabaya
2026-09-18 19:54:28
8
zakarialagosmakam
zakarialagosmakam :
tusha feli 🤣🤣🤣
2026-09-18 20:00:16
2
user6303363429247
Kadinalikatto :
Kuondokan na demokrasia kabsa
2026-09-18 08:43:16
3
boncity01
Boncity 🇦🇪 :
Bahati huwa haiji mara mbili ila tukiona clip kama hizi mioyo yetu inajawa na simamzi 😢
2026-09-23 07:59:08
4
realwahid8
realwahid :
daaaah na hio qaswida jamani hapo tunatoka zetu kuswali swala ya eid tushamaliza kufunga ramadhani hebu pata na kale kafeeling flani hva chuoni na skuli zote zimefungwa😂
2026-09-19 12:11:03
2
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
unguja iyo sio zanzibar
2026-09-19 17:02:46
0
tatizo.nafsi
@***SHA***@ :
sio rahis tunatamani sana ila tushatawaliwa ni mabepari
2026-09-19 12:15:28
0
wizagigicarter
Agigi_26 :
malezi tu wazee wajitahid
2026-09-19 04:41:17
0
oso_boy63
@Oso_boy :
Jina_la qaswida tafadhali
2026-09-18 21:00:48
1
salehhassan2399
Saleh Hassan2399 :
zama zimepitaaa wimboo unankumbushaa mbalii machoziii yanitokaaa
2026-09-20 11:41:56
1
allah.karim61
allah karim :
kwasasa kazi ipo
2026-09-18 19:18:32
0
user5090497740671
user5090497740671 :
Kwanza Tuwe Kariba Na Allah pili Tuitokomeze ccm Hapo Ndipo Tutafanikiwa
2026-09-19 20:05:56
5
adinanikuru
ADINANI KURU :
Mapambano tu
2026-09-19 05:22:36
0
user5287311459702
omi11 :
Duh mie nikiona ivi machozi yanitoka
2026-09-19 12:15:11
0
hannancakes2022
hanancakes :
kama tulivyokuwa hatuwezi kurudia utotoni na ndio vile vile hatutoweza kurudisha maisha yetu ya zamani
2026-09-19 14:18:00
1
ahmemasoud7
Ahme Masoud :
watu walikuwa wakishiba na heshima zao😎
2026-09-19 08:23:41
0
bonge9763
BONGE :
Ni vigumu na nirahisi inategemea maamuzi yetu Leo hii tukiamua yatarudi ila jee tuna uthubutu wakati tumeeka mbele starehe,?
2026-09-20 16:04:17
2
mulasaid96gmail.com
mula said mula :
babu yangu alikuwepo hapo🥰🥰🥰😳😳
2026-09-20 20:52:56
2
ngadu.mubashara
Ngadu Mubashara :
kuijenga tu kwa lazima na kwaita wekezaji kutoka omani na Saudia Arabia na irani pamoja na uk
2026-09-20 16:32:31
2
muntarbentan2
Ben Tan :
Zanzibar haiwezi kurudi tena
2026-09-23 16:34:00
2
srh5889
srh :
watu wote walikua sawa furaha na upendo ndio kilikua kitu cha kila mtu na neema ilkua ipo kwa asilimia kubwa ambayo haielezek ila watu wa sasa tume lishwa ujinga kwa kutokua na elimu tuna amini ya kuambiwa na ndo kitu kinacho sababisha kutawaliwa na wapenda mali na si wapenda utu na watu uki angalia asai tuko tuna ambiwa kma tume pindua nchi tuko nayo wenyew ila angalia hali za watu sasa zunguka uwone watu wanavyo ishi kma vile si watu kwa kwel ina uma
2026-09-23 19:22:58
1
jaffar.ameir.jeff
Jaffar Ameir (Jeff) :
kuwa na Mamlaka kamili kama Zamani🙏🙏🙏
2026-09-19 11:41:21
2
gallas.mlinz
gallas mlinz :
hakuna mwangu
2026-09-19 09:25:45
1
To see more videos from user @user7503719990120, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About