@drotiende: Dalili za PID (Pelvic Inflammatory Disease), yaani maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, zinaweza kuwa: 1.Maumivu ya chini ya tumbo/nyonga 2.Uchafu ukeni usio wa kawaida, wenye harufu mbaya 3.Maumivu wakati wa tendo la ndoa 4.Maumivu au kuwaka wakati wa kukojoa 6 Kutokwa damu kati ya hedhi au baada ya tendo 7.Homa, baridi au mwili kulegea 8.Hedhi kuwa nzito au yenye maumivu zaidi kuliko kawaida 9.Maumivu ya mgongo sehemu ya chini #fyp #viral #trending #kenyantiktok🇰🇪 #fyppppppppppppppppppppppp