@verossa_thrift_store: Baby dress zenye chupi ndani 🤍 Nzuri kwa mtoto kuvaa na kucheza kwa uhuru bila usumbufu wa kutafuta chupi tofauti. Zimetengenezwa kwa material laini na zenye mwonekano mzuri sana. Bei: TZS 5,000 tu 📍 Verossa Thrift Store – Ubungo Msewe, tunaangaliana na Shule ya Msingi Msewe 📲 WhatsApp: 0713529780 ⚠️ Note: Size iliyoandikwa kwenye nguo inaweza kutofautiana na mwili wa mtoto, tafadhali zingatia ukubwa wa mtoto wako wakati wa kuchagua. #babydress #verossathriftstore #babygirl

verossa thrift store
verossa thrift store
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 07:53:27 GMT
6159
175
21
18

Music

Download

Comments

maryam.muhammad922
Maryam Muhammad :
Please give us ur number
2026-09-18 23:09:42
0
alindajose
Alinda♈ :
Hapo umeweza mmy❤️🥰
2026-09-19 21:03:44
1
rebygaly
Rebygaly :
sio kwa ubaya ila mnacustomer care mbayaa jamani.
2026-09-18 10:17:51
0
shuuwabrown
Shuubrown :
Hello ni bei gan
2026-09-18 07:58:13
0
anipherwella
anipherwella :
vya 11m napata🥹🥹
2026-09-18 08:20:32
0
sada27105
sada :
hivyo navitaka
2026-09-20 18:55:43
0
evagracegmail.com
[email protected] :
ivyo bado vipo
2026-09-18 11:54:31
0
scolar934
Scolar :
bado vipo maan kila nikichagua hamna
2026-09-18 09:38:07
0
sada27105
sada :
mashallah vinguo vizuri nataka nitapataje niko Tanga
2026-09-20 18:55:20
0
nayo543
MANAJ OUTLET COLLECTION👜👛🎒 :
Uweke jina la acc yako kwenye video zako .. kuzuia watu kupost content zako
2026-09-18 10:54:51
0
dijahjabbie91
dijahjabbie91 :
🥰🥰🥰
2026-09-20 12:24:15
0
To see more videos from user @verossa_thrift_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About