@chala.vaxh: My beautiful sis❤️✨ Si kila mtyu anapata dada kma we…me nimebahatika sana🥹❤️mung azid kukubalik na kukulinda.. Km ningkuw na nafc ya kuchgua ten bx ningkuchagua ten we dada ang🫂🥰,, uwep wak kweny maixh yng ni zawad ambay siwez kuichukulia kawaida… Mung akulind, akupe maish marefu na akufanikish zaid🙏…. HAPPY BIRTH DAY MY SIS 🎂🥂❤️🫂🔐@wa halal💍 @🌹 pretty_zamoah🦋 @Nabuh🦋🧸 @🎀🌺💔Mrs HUBBY ❤️