Hujamuudhi Sheikh Peke yake hili jambo umetuudhi wengi, kwanza urudi tena kwenye Media utuambie kama ni kweli kishki amefanya uliyoyasema au umemsingizia na ni kwa lengo gani ukamsingizia.
2026-09-18 11:28:02
14
Hawa Hasan :
shehe kishik usikubali kumsamehe alikudhalilisha sana ww mpeleke mahakamani ili iwemfano kwawatu wenyetabia kamazake zakuwatukana viongozi wadini
2026-09-18 10:41:34
11
user302725935079 :
nasisi hatujaelewa kishki yupi unamzungumzia kishk msomali au shekh kishk
2026-09-18 14:34:21
10
Rashid Salim :
kishki yupi unayemuomba radhi?
2026-09-18 11:02:10
8
strikertole5 :
Me nataman wewe uwe wa mfano kwa umma wote
2026-09-18 10:13:37
17
Makamo wa Raisi :
CC TUNATAKA PESA CYO MUFTY SISI HATUMTAMBUWI LABDA SHEKH WALID ASEME HAPO SAWA.
2026-09-18 14:35:39
8
issa ally533 :
sasa mufti wa Tanzania anaweza kuingilia mambo ya somalia?
2026-09-18 13:48:39
2
Makame Ally Seneda :
Never again Start a War you can not Finish.
2026-09-18 12:59:24
0
MKUDE JR :
kwani sio msomary jmn au mimi ndio sijaelewa hpo
2026-09-18 09:43:41
8
Mansoor junior :
Sisi tunataka 5B zetu bhana tunataka ulipe
2026-09-18 15:28:41
1
rajabu Abdallah :
Kishki yupi unaemuomba radhi
2026-09-18 16:33:51
0
Otieno :
AI
2026-09-18 16:01:10
0
abuu sayiriinTz 🇹🇿 :
ulikua hujui hilo
2026-09-18 16:14:41
0
nassor nassor :
mbona hujasema nimemzulia uwongo
2026-09-18 14:45:51
0
@siwemaselemani6 :
k
2026-09-18 13:25:59
0
Hormuz :
Leo ndo unakumbuka hilo
2026-09-18 12:11:13
0
Omary Kiba :
tumekusamee Ila zile b5 tunazitaka kwa matumizi mengime
2026-09-18 13:02:09
1
leylatotty :
SI ulisema sio yeye
2026-09-18 11:58:14
0
Matata Swed :
apn apn apn
2026-09-18 15:32:54
0
Focus Kigamboni :
Amiin kaka Amiin bora umeomba radhii
2026-09-18 12:48:40
0
bobwe :
litaisha mzee wetu usijali hakuna mkamilifu nimepennda sana hiili mzee
2026-09-18 15:28:10
0
Davic Pichent :
Me 0’
2026-09-18 14:12:28
0
Msuya Issa :
kishki yupi unae muomba msamaha
2026-09-18 14:03:40
0
To see more videos from user @mlipuo.tz.news, please go to the Tikwm
homepage.