@gladnessmwangaa: Replying to @rachel official 💞 #gladnessmwanga #tiktokkenya🇰🇪 #goviral #gospel #fyp

GladnessMwanga
GladnessMwanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 08:22:11 GMT
120249
7270
441
33

Music

Download

Comments

user4551159852478
cookie 🥞🍪🌹🫦 :
Kuna maswali yanaumiza kama utazaa lini utaolewa lini nyieee 😢😞😞
2026-09-18 10:27:25
198
marylizz833
Lizzbe :
when the time is right I the lord will make it happen.hili tu hunitia nguvu mimi sina mashaka na maneno ya watu.
2026-09-19 05:13:00
0
elizabethallen546
_elizabeth🌸🌹 :
eeeeeeeeenh! Mungu tunaomba ukumbuke wanawake wote wanahitaji watoto maana ata neno lako linasema katika kutoka 23:26
2026-09-18 08:36:48
298
scholasticvicent
Scholastic Vicent :
tunaopitia maumivu yakutopata mtoto kwa.wakati tunaelewa
2026-09-18 19:06:24
41
mburungewanjoro
Princess mimah🥰 :
sichoki kuomba na kusali kila saa na kila siku anipe uzao na mimi
2026-09-18 14:49:48
66
user.mercymmbone
User Mercymmbone :
God's time is the best..pia mi nangojea...siku ipo🙏🙏🙏
2026-09-18 19:21:58
0
queenlamay
Queen ladies point :
Baba wa mbinguni achana na yale mahitaji yangu yote naomba kwanza uwape wanawake wote wanaotafta watoto wape kicheko baba ooooooh🥲
2026-09-18 14:41:43
97
soni.dina
Soni Dina :
God please come through for her and us😢😢😢
2026-09-18 18:45:03
1
stephano.samson0
Stephano Samson :
mtoto haji kwa maombi dada tobwaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 14:16:57
6
ruph.collections
Ruph collection's :
kindness doesn't cost anything 🥺 The issues of fertility, marriage muache kuuliza watu jamani 😏
2026-09-18 11:36:43
1
user949981301531
Anny⭐ :
Nakuombea kwa jina la YESU alie hai mwakani ukapakate mtoto wa kujifungua kwa jina la YESU Amen 🙏
2026-09-18 11:52:30
40
phoebemwende21
#toto-lamwana :
at the right time i the Lord will make it happen
2026-09-18 08:49:59
13
cheka128
Golden girl♥️🦋 :
Huyu analilia na mm nalia nizione ck zangu ama kwel dunian tupo aina mingi guys😳😳😳
2026-09-18 11:31:17
14
priscawilly135
Prisca Willy :
Barikiwa unayesoma ujumbe huu 🙏
2026-09-18 15:23:51
13
enjo0406
Enjo :
kipenz nimetoa machoz naomb usikate tamaa Mungu atakupa kwa wakat wake wangu
2026-09-18 18:08:45
7
tumaini.mguhi
Thalia♥️ :
My sister🥰
2026-09-18 08:54:15
0
victoriachallo
Victoria Challo :
Mungu akukumbuke mwaya majira kama Haya utapakata mtoto wako 💕💕💕💕💕
2026-09-18 09:06:00
9
mn38287
M🌹N🌹🥀 :
maumivu ya huyu dada ndo yalkuwa maumivu yangu nayaelewa kbs ila mungu yupo kpz
2026-09-18 11:26:59
12
user2528737698195
Ericsen ⚡ :
Glad naitwa Sam mi ni fan wako mkubwa napeda wewe Sana God ajibu all your heart desires ♥️♥️♥️🙏
2026-09-18 15:45:10
9
salha_deen
Salha Deen :
huyu dada hanaga shida na Mtu ila waja Sasa Kwan lazima wote tuwe na watoto akizaa yy c inatosha ila binadamu jaman
2026-09-18 10:46:04
17
naice.marandu7
naice marandu :
Mungu nikumbuke na mim 😌 ipo siku Mungu Atatenda tu
2026-09-18 16:11:28
6
shijabby
Shijababy🥰🦋 :
Mungu humjibu kila mtu kadri ya mapenzi yake Amini Mungu yupo na Atatenda ipo siku utapata furaha hauta Amini..Mungu ni wetu sote hachelewi wala hawahi 🙏
2026-09-18 12:17:32
5
loreanly21
lorean :
wanadamuu sio wanawazaga nini wapo kwa ajili ya kuumiza watu tu
2026-09-18 08:29:31
5
madamb322
MADAM B💝 :
Bonnet kama ya dada apo unaipata kwangu
2026-09-18 15:48:15
2
dinah.simfukwe
Dinah❤️‍🩹 :
😪😪🙏🙏🙏 mungu msaidie na uyu dada kama ulivonisaidia mm
2026-09-19 05:45:25
1
To see more videos from user @gladnessmwangaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About