jaman ii nyimbo imeniumiza sana jaman nimelia sana
2026-09-19 01:20:25
2
emery :
amina
2026-09-18 09:22:03
1
🍒🍒lizy gold🍒🍒 :
kaka naomba moja kwa ajili yangu unampenda mtu unamvumilia kumbe anakutumia tu kwa manufaa yake kumbe ana mke na mtoto na kashamtolea mahali halafu anakupa ahadi za uongo uendelee kubaki kwake unapoamua kuondoka kwake anakungangania usiondoke nashindwa kuelewa ni upendo au anataka niendelee kubaki kwake please moja kwa ajili yangu 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 14:30:22
3
Julie musuwa :
Wakati mimi namupenda kumbe naye ana penda mutu mwengine nime ya chukiya mapezi mimi 😭😭😭
2026-09-19 07:34:27
1
Dullyxd_ :
Mapenzi ni adhabu kali sana 😢
2026-09-21 11:57:37
0
Polite :
aras fundi wangu pia yumo🙌🥳🥳 leyla hi
2026-09-19 12:14:12
1
Massoud Amour :
Jina la series linaitwaje
2026-09-21 07:20:01
0
Ms_Mary :
Nikipenda naombeni mje mnipige ngumi🥺
2026-09-20 23:11:57
0
esperance ndungo :
wakati mim namupenda kumbe naye ana penda mutu mwengine nimr ya chukiya mapezi mimi
2026-09-21 01:37:19
0
khamis big popa :
2026-09-18 14:39:24
1
suleimani haruni :
nahitaji
2026-09-21 08:04:02
0
🍒🍒lizy gold🍒🍒 :
😂😂😂inauma
2026-09-18 14:33:16
1
Dullyxd_ :
2026-09-21 11:55:37
0
akram handsome :
naitak iy nyimbo
2026-09-20 12:19:55
0
tatu halfaniiiii :
kwani ungenivumilia Mimi inhekuaje baba dah Aya bana