@fikrachanya_tz: ACHA KUFIKIRI SANA Mwongozo wa kukusaidia kuelewa mzunguko wa overthinking, kutambua kinachochochea mawazo yanayojirudia, kujifunza mbinu za kuyasimamia na kuanza kujenga utulivu wa akili. Ndani yake utapata: SELF-ASSESSMENT — kujitathmini na kutambua maeneo ambayo overthinking yako inaonekana zaidi. MAZOEZI YA VITENDO — kuanza kutumia unachojifunza, si kusoma tu. MPANGO WA SIKU 30 — kujenga hatua ndogo za kila siku za kuanza kubadilisha mfumo wako wa mawazo. Huhitaji kuwa mtu asiye na mawazo. Unahitaji kujifunza kutotawaliwa na mawazo yako. Bei ya kawaida: Tsh 10,000 BEI YA UZINDUZI: TSH 9,000 Ukitaka nakala yako: Tuma “NATAKA KITABU” DM au WhatsApp. 0746078384 . . . . #AchaKufikiriSana #Overthinking #UtulivuWaAkili #AmaniYaNdani #FikraChanya

Fikra Chanya
Fikra Chanya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 08:38:52 GMT
29525
1006
20
92

Music

Download

Comments

praygodurassa0
Praygod 🇨🇳 🇫🇷 :
Alafu awe ni I.T😂
2026-09-18 14:40:42
4
binazrun98
. :
kwann na nin hiy mbon haielewek
2026-09-19 00:10:04
1
neemahouseofbeautydom1
NEEMA HOUSE OF BEAUTY DOM🇹🇿 :
Ni mm huyu😂😂
2026-11-05 02:22:34
0
petersimango75
Simango PH :
hivi nitajuaje kama me ni overthinker? please nifanyie hiyo
2026-09-18 17:48:24
2
lonley5617
lonley :
nikiwa kama mwana chama wa overthinker nashauli hakuna kuacha😂
2026-10-18 19:00:34
1
liam1k02
Dr liam@1234 :
hahaha mm hii si overthinking nimekuw km mganga wa jadi nikiwaz n ukwel😂
2026-10-08 16:30:09
1
bibs4086
Bibs🦋😘 :
natoka na majibu zaidi ya FBI nakupatia na evidence
2026-11-02 16:08:36
0
kimfahym8
Deb♉️ :
Mimi uyo 😁😂
2026-09-18 15:15:39
0
neuroblastinnovation
neuroblast innovation :
over thinking 🤯🤔🧐 hawa jaama achana nao 🤣😂 ukimwambia usiwaze ndio 👍😅 ana Anza kuwaza 🤣🤣
2026-09-18 12:28:25
1
mwantumu.mwinyikaz
mom qaylah :
mi nataka kutoka kw3nye overthnk,,inaniatesa mtu akiniambiabkitu nafikia kila neno na mtu akithubut kunidanganya ntajua nawaza hadi kesho uii
2026-09-20 10:50:40
1
chloenicol111
👸♍️ :
Labda mm sio mm😂😂
2026-09-21 16:10:35
0
nifferjr
niffer🦋 :
😂na siwezi kuacha hii tabia
2026-09-21 20:56:21
0
da.rim38
Da rim :
aizuiliki
2026-09-22 14:21:46
0
gianamohamedi
GYE DOLLARS🫧 :
me naeza creat story na nikapata jibu mda Mwingine nasema em Sally acha mda uamue🙌
2026-09-20 09:07:49
0
watende7
watende :
kichwa kinafanya kazi kama kompyuta
2026-10-06 02:36:30
0
khalisoul1
dreamer kid :
hhahh aquman hap
2026-09-24 16:20:06
0
velvetauracosmetics23
❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 :
😅😅😅
2026-09-18 09:18:32
0
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About