naomb tumaliz baba kwamaan natesek na mapenz mimi jaman khaa😂😂😂
2026-09-19 08:49:33
83
Happy🦋💖 :
subiri Kwanzaa sina mtoto bado😳😳
2026-09-18 21:03:54
260
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-21 08:37:49
72
🐣___šîñkø___🧸 :
Tusamehe baba kumbe ushanunua simu
2026-09-19 07:16:22
40
Only one ,MUNUO💕🔐 :
baba yetu ulie mbiguni jina lako litukuzwe ufalume waako ufike utakalo lifanyike duniani km mbinguni utupeleo mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu km tunavowasamehe walio tukosea usitutie katik vishawishi lakin utuopoe maovuni,,, kwakuw ufalume ni wako! na nguvu na utukufu ata milele AMINA.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
2026-09-19 06:58:22
337
Frank :
order ya kujenga safina umempa nan tafadhal tujulishane🤔🤔
2026-09-19 07:11:54
215
official Damn112🥰🥰 :
tusamehe baba ndio kwanza nimeanza kutumia Iphone ata sijaifaidi vizuri😁😁😁
2026-09-18 20:38:42
30
PJ Mushy :
Baba Mungu turehemu tusamehe kwa wenye utani na masihara na wewe Baba Mungu wa mbinguni uturehemu naomba msamaha samehe Baba wa mbinguni kwa taifa na dunia tuepushe na majanga yeyote Amen🙏🏾
2026-09-19 07:52:49
83
bin.sele :
majina ya walio cheka
2026-09-19 09:41:27
27
It’s_me :
Subiri kwanza nipokee hela yang ya mchezo baba
2026-09-19 10:16:18
46
oduor :
Guys Niko kutu
2026-09-21 15:40:36
9
baby fetty :
subili kwanza kuna mme wa mtu kaniahidi iphone 18 😂😂😂😂
2026-09-19 07:59:06
31
PRISCA BEAUTY SALOON USHIROMBO :
tusamehe baba me bado sjapokea hela yang ya mchezo🥲
2026-09-19 07:25:58
15
@black tiger :
duh baba hata huko za mkopo zimefika watu credit shikamoo
2026-09-19 22:19:08
8
Me🇰🇪😜 :
Subiri kwanza tumrudishe Ruto nyumbani kwanza,,, one term 🤣🤣🤣
2026-09-19 07:07:33
12
nyamihasisihaka :
Hivi ulisema utakuja au sisi ndo tunakufata😂
2026-09-19 10:15:55
89
@Abby06 :
Mungu baba msamehe kwan hajui alitendalo🙏🙏
2026-09-19 06:35:58
10
. :
Basi nimewasamehe
2026-09-18 21:19:45
47
chalii ya morombo :
subiri kwanza nipokee ela ya mchezo mkuu alaf ndio utuue😁
2026-09-19 15:13:36
15
Saimony Davis :
zinabondwa2
2026-09-18 18:04:45
8
josejohn541 :
wewe ndio ulisema utarudi vp tena?
2026-09-18 15:08:26
35
pharell’s🚘🚐🫡 :
unaweza ukakutaa Tanzania ni chanel y vichekesho mbinguni😁😁😁
2026-09-19 07:24:19
12
To see more videos from user @poulmeker06, please go to the Tikwm
homepage.