@drpacha4: #knife #🔪🔥 #water #congolaise🇨🇩 #fyppppppppppppppppppppppp

🧘‍♂️DR. PACHA 🇺🇲🌍
🧘‍♂️DR. PACHA 🇺🇲🌍
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 09:00:14 GMT
73320
2210
78
654

Music

Download

Comments

georges.muhosolo
Georges Muhosolo :
thanks so much
2026-09-18 20:18:57
0
stingah.boy
Stingah Boy :
mh 😂 copy and paste😁
2026-09-18 14:49:23
0
lengima1
Black Pearl :
natamani nipate mkweli wa tiba nimechoka
2026-09-18 17:22:08
3
user9106105683661
user9106105683661 :
Dr . Njiku huyu , mbona jina tofauti mumeiba
2026-09-18 18:41:38
1
gravenrodger
Tristao Da Cunha. :
Nilifanya yapatayo mwezi moja iliyopita na bado nashambuliwa na wachawi!
2026-09-18 13:17:23
4
moses.mlanda
Moses ✌ :
vipi nkikiweka ndani ya choo ili kispatikane kwa maana kwa kukirusha kuna uwezekano wa kuokotwa bila kujua
2026-09-18 11:09:44
6
supe888888888
Eagle 🦅 :
Asant san
2026-09-18 11:03:47
4
rehema.thomas56
Rehema Thomas💝💝 :
tatizo hujibu je kisu unaweza kukichimbia au
2026-09-18 12:24:39
3
ainaaaaa__23
Xhaiden :
Na kikiokotwa bila mimi kujua
2026-09-18 11:07:47
1
rachellameck5
Rachel Lameck :
Naombeni kujua hiyo kisu natumbukiza kwenye maji muda nanuia ama nafanyaje? hapo ndo sjaelewa
2026-09-18 19:11:05
1
user43365453983505
mummy2 :
dr njiku njoo pande hii
2026-09-18 14:42:13
2
user55415098865146
Better days are coming 🙏 :
nikitupa hicho kisu baharini ni sawa?
2026-09-18 12:13:28
1
siengo16
m.J.BUNDALA :
Dr nikitupachoon kisu nisawa
2026-09-18 13:18:32
0
userbarcelonaiseaime
Aimé Byadunia :
apa tunasikiya
2026-09-18 17:41:18
0
chado1376
Chado :
fact
2026-09-18 16:19:38
0
jumaa.dirisa
Jumaa Dirisa :
assnti ssana undugu wangu 👏✅
2026-09-18 20:58:05
0
fantaphilip
fantaphilip :
je uyo mtu akiomba msamaha???
2026-09-18 14:56:56
0
kelivin.frank
kelivin :
vipi ikitokea kimeokotwa maan Mazingira ya dar ni ngumu sana kupata sehem ya kutupa kisu na kisiokote
2026-09-18 17:52:01
0
baranshaka
Baranshak :
Nafanya ivyo kwa siku moja tu au naweza ludia baada ya muda gani?
2026-09-18 14:53:24
0
shamlati
shamlat :
lazima maji yawe baridi?mma mmi maji baridi siwezi labda nipashe kidogo
2026-09-18 15:32:34
0
marcus.ngonyani43
Marc Living space :
kikiokotwa na mtu Nini kinatokea ??naomba jibu tafadhari
2026-09-18 13:35:47
0
mwakamwamuyedau
Mwaka M.DAU :
Nauliza hivi hiki kisu km nimefanya usiku km ulivyosema naruhusiwa kukiweka mahali mpaka asubui czkutakuwa niusiku alf asubuhi nikakitupe
2026-09-18 13:33:50
0
nana110259
Nana110259 :
kwa waliokuwa nje ya Tanzania na hawana mkaa je,inafaa kwa moto wa gesi? (gas)
2026-09-18 11:24:11
1
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
ila ndugu zangu kama ikifanya kazi kweli muwe na utayari maana mtazika watu wenu wa karibu maana wanaotuchukia ni watu wa karibu
2026-09-18 12:20:02
2
asiaelias1
official 🌹🌹momo :
na je nikitupa chooni je
2026-09-18 12:24:37
2
To see more videos from user @drpacha4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About