Oooh God nakuomba unisaidie nitoe sadka inayouma zaidi🙏
2026-09-18 09:40:49
24
mm mm🏃 :
🙏❤️Mungu nijalie niwe na moyo wa kutoa, moyo wa kusaidia na moyo wa kushukuru. Nifundishe kutazama mahitaji ya wengine na kuwa baraka pale ninapoweza. Usiniruhusu niogope kutoa kwa sababu ya kidogo nilicho nacho, bali nijalie niwe mwaminifu na mwenye moyo wa upendo. Kila nitakachotoa, kiwe kwa moyo safi na kwa utukufu wako. 🙏❤️✨
2026-09-18 13:53:32
8
prince tz :
MUNGU atubariki wote🤲
2026-09-18 09:20:23
6
Margeret Wamaitha :
ni kweli father 🙏🙏
2026-09-18 10:41:25
5
mam bty :
mimi napenda kutoa sadaka kidgo nilichonacho niombee nianze kwenda kanisani tena nikatoe sadaka ya shukurani ya kuwa mama
2026-09-18 14:10:41
4
rithamakeki :
Ameeen sadaka sadaka
2026-09-18 09:41:22
2
Fine Girl 🦋🔐❤ :
Ameeeen Mtumishiii
2026-09-18 12:39:17
1
Silvia Silayo :
Nikweli kabisa
2026-09-18 14:01:53
2
anita💕💕babe 💕💕 :
amen 🙏🙏
2026-09-18 19:45:23
0
Lina Milgo :
Amina
2026-09-18 19:12:43
0
danielsubeth :
Ameni 🙏
2026-09-18 19:18:40
0
Anna Kapotwe :
munguu naomba moyo wakutoa sadaka🙏🙏🙏
2026-09-18 12:11:33
1
user81167276921 HANIFA :
ameeeeeen
2026-09-18 19:27:47
0
Nanji :
Ameen
2026-09-18 19:41:52
0
Judithkemuma37 :
Amina Amina
2026-09-18 19:44:52
0
elly5962 :
Amina
2026-09-18 12:07:24
0
Asisa :
amen
2026-09-18 18:43:21
0
user90090178401138 :
AMEN
2026-09-18 18:54:55
0
meh :
kweli baba mungu naomba unisaidie nijuwe thamani yakumtolea mungu sadaka
2026-09-18 19:48:30
0
Hellen bosibori :
amen 🙏🙏
2026-09-18 19:56:55
0
felister :
Mungu nisaidie
2026-09-18 19:08:14
0
Mwajuma Salum43 :
Ameeeen
2026-09-18 18:58:24
0
cute :
ameni
2026-09-18 09:15:23
0
To see more videos from user @revdrelionakimaro, please go to the Tikwm
homepage.