@sigfridsan: Interview tips

Restless hustler
Restless hustler
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 09:14:20 GMT
148094
5846
126
1018

Music

Download

Comments

her__2301
♒️💎🌸 :
Nkikumbuka nilivojibugi nilijua tu kaz sipati😅
2026-09-18 14:47:22
80
veesha_homedecors
veesha_homedecors :
oyaa niliulizwa hilo swali ndo nilijua hata mimi sijijui😂😂😂
2026-09-18 17:31:56
14
mkondetz
Mkondetz :
niliulizwa nika sema mm mkonde akasema mkonde ni nan nikasema ni mimi wakaniambia tutakupigia huu mwaka wa 8 sija pigiwa 😂
2026-09-18 15:15:40
41
fettie_8
fettie🦋 :
Asante mungu nimeona hii, kesho asubuhi naingia kwenye interview 😁
2026-09-18 18:19:37
14
aunttee1
Tee🧚‍♀️ :
My HR😍
2026-09-18 16:17:02
7
user2995415666002
naft :
ilaa ubatizo
2026-09-18 16:42:33
7
purest_urembo
Purest Urembo🌸 :
ubatizo
2026-09-18 12:12:34
10
mamyy2603
Me & I :
Sasa muwe mnasema kwamba mnataka kwa ufupi mi najuaje sasa 😂😂😂
2026-09-18 17:09:56
7
gidion346
HUSSEIN :
kuna lile swali hua wanauliza "unataka tukulipe bei gan" hili swali hua linakata
2026-09-18 17:41:12
7
officialmelarny07
Melarny❤️‍🔥📚💦 :
Niwapigie waniite nikawajibu tena vzr😆😂😂wanipe kazi
2026-09-18 16:29:00
5
mcutehbet
mcutehney :
nimempemda mkaka anavyoongea
2026-09-18 13:10:07
12
chil_200
chil_200 :
shida Huwa ni lugha mtu kujieleza in English Huwa nikujikanyaga kweny tense sio poa😀
2026-09-18 18:02:21
6
unexpected706
Unexpected :
Basi sina kazi nishaharibu😂
2026-09-18 17:19:35
3
arch_nexus707
arch_nexus707 :
hamna lolote. Wakitaka kukunyima kazi wanakunyima na lakuwafanya huna kazi hupati. Wakikuhurumia sana ni internships bila malipo for 6 months
2026-09-18 16:59:32
5
ms.rosie012
Getlook♡♡ :
Kujielezea na majukumu kunahusiana nini😳😳
2026-09-18 17:39:52
3
reenmcharo
Reeny :
nimezingatia tuu lafudhi ya familia yanguu...☺️
2026-09-18 17:54:51
2
tchichi01
T@chichi :
angalau dada umeuliza maana at me ningeulizwa ningejubu ivyo
2026-09-18 15:14:03
6
queennina087
Nina❤️ :
🥺😥
2026-09-18 17:18:07
1
ms_mzuristore1
From your contact :
kumbe ni hivi 😂😂😂
2026-09-18 16:44:48
2
user668213590574
0750308870 :
au basi ngoja nisiseme chochote
2026-09-18 17:04:50
2
igenge7
Igenge :
mimi niliulizwa nikajibu mm ni bikra nipo single walilaliana kucheka sijaitwa mpka Leo.
2026-09-18 18:38:08
2
gitogula
Gito Gule :
apo saww
2026-09-18 17:33:03
1
comfy2696
Comfy :
nimejifunza kitu🙏
2026-09-18 16:19:45
3
aiem_fetty
aiem_fetty :
Wacha nijifunze mapem ingawa ndy naenda kuanza first yr Bac tyu nijue😁yasije nishinda mbele
2026-09-18 17:21:15
2
user65835388586232
Ramso :
🤣🤣🤣 kuna comment nimeisoma nimecheka xana 🤣🤣
2026-09-18 16:58:34
1
To see more videos from user @sigfridsan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About