Mimi wangu ataenda tena za masista, apate Elimu ya dunia na elimu ya imani ajue na kazi za mikono pia, achapwe vizuri tuuu.
2026-09-18 10:43:21
34
TAHO M Group✅️ :
kingine pia nashauri mzazi yyt ni mzazi wa watoto wote, ukiona hata gari la shule la watoto linakimbizwa toa taarifa polisi haraka sana, gari inamfuata mwanao nyumbani chunguza wamepakizwa watoto wangapi kuna wakati wanapangwa kama samaki, tusiwe watu wa kuona aibu when its come to our children, toa taarifa polisi haraka sana
2026-09-18 10:49:07
15
OBALOLA KB19 :
Tumsifu Yesu Kristu!
2026-09-18 12:03:50
7
ms_nasra :
Mimi nae natamani nitafute shule ya secondary nzuri ya day akhiii…Nmesoma boarding mimi simatamani asome boarding.
2026-09-18 13:09:00
3
Uchala Mulembo :
Mimi nimwalimu, kumuhamisha mtoto shule tano kwa miaka 7 siyo sawa kwasababu, mtoto anachukua zaidi ya mwaka kumzoea mwalimu ili amuelewe darasani
2026-09-18 10:41:18
11
lusaganya :
kuhamisha ndo kumpa extra knowledge
2026-09-18 10:41:44
4
Vee uturuki 🍀🍀 :
much know 😉
2026-09-18 12:07:11
2
user543097 :
Nimewatoa watoto shule za Kanisa na sitarudia hilo kosa.
2026-09-18 11:05:58
7
user18665806003041 :
huo siyo hushauri dada
2026-09-18 09:51:59
4
MORGAN MWAIKUSA :
Mpelek international tu
2026-09-18 10:40:36
2
@furaha123 :
wengine mbona wako vizuri tu dada angu
2026-09-18 10:21:25
4
Shose :
Nilikutana na wewe kwenye interview ya iyo shule ya kanisa😂
2026-09-18 10:56:21
1
Chimamy@despasito :
fact
2026-09-18 10:19:43
1
thirdculturemom :
best thing ni homeschool
2026-09-18 10:20:47
1
mamito :
true
2026-09-18 10:48:49
1
naimson2 :
Haya sema mwanao kapata extra knowledge ipi
2026-09-18 13:05:57
0
user8788007023260 :
NI kweli kabisa
2026-09-18 10:18:07
1
2minutes law :
fact
2026-09-18 09:47:54
3
veronicajimisha :
Very true
2026-09-18 10:05:01
0
Mamy Shop :
naendelea kusoma maon ya wazaz 😂😂😂😂nam wakwangu mwakan mungu akipenda akaanze shule
2026-09-18 13:26:29
1
Pauline__2021 :
Kuna kitu nimejifunza
2026-09-18 13:38:41
0
Sadick hussein :
mm simpeleki mwanangu Shule ya kidin🥺🥺🥺
2026-09-18 13:32:35
0
It’s _Faah💞 :
Hiho shule inaitwaje
2026-09-18 13:34:26
0
mama p :
nikajua Niko pkeangu ad najionaga WA ajabu...
2026-09-18 13:32:55
0
Mikapakapa :
matangazo ya siku hizi yanatolewa kwa akili sana
2026-09-18 13:26:45
0
To see more videos from user @dianalinga, please go to the Tikwm
homepage.