@radiomariatanzania: WANAKWAYA TUJIHUBIRIE PIA SISI WENYEWE– ASKOFU SALUTARIS LIBENA Video: Homilia iliyotolewa na Mhashamu Salutaris Libena, Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara, katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuhitimisha Hija Takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Bibi Yetu wa Kiberege, Jimbo Katoliki Ifakara. Hija hiyo ilizinduliwa jana, Septemba 17, 2026, katika Parokia ya Bikira Maria Bibi Yetu wa Kiberege, Jimbo Katoliki Ifakara, na imefikia tamati leo, Septemba 18, 2026. Misa Takatifu imeadhimishwa na Mhashamu Salutaris Libena, Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara. www.radiomaria.co.tz

Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 09:22:30 GMT
2226
172
1
5

Music

Download

Comments

krmk.kiut
KRMK KIUT :
🙏🙏
2026-09-18 09:33:50
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About