@hubofwisdom.inc: Ukiishiwa Luku usiku na hauna hela kwenye simu utampigia nani akupige tafu? "Huwezi kuwa mtu ambaye aina ya watu waliokuzunguka ni watu ambao wanachukua tu kutoka kwako... hawaachilii chochote kwenye maisha yako." Anasema madam Rose Shaboka #thewisetz @hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Region: TZ
Friday 18 September 2026 09:48:01 GMT
Music
Download
Comments
Prisca :
point yako nini
2026-09-18 11:25:47
0
katumunyao :
very true
2026-09-19 04:20:25
0
otilliaclemence :
delete all numbers 😁😂
2026-09-18 15:16:20
0
Willgad Plumber :
Tutafte hela, tuache kuwapa lawama watu kwenye magumu yetu... msaada sio lazima ni jambo la hiari ni uamuzi wa mtu .. HAKUNA FACTS HAPO
2026-09-18 14:52:31
2
Sarah Rehema Rey :
Ninao wawili tu ninaoweza kuwaamsha usiku wa manane wa nisaidie Mungu awatunze kwa Ajili yangu
2026-09-18 09:54:03
2
gnaftal :
Nina watano ni madishi tuu
2026-09-18 13:17:34
1
kevi kija :
na ndio maan cm yangu ina majina ishirini tu baba mama kaka dada mke wangu wakwe zangu na watu baazi tu
2026-09-18 15:12:50
3
Amosi Marcel :
Leo watu wanafundishwa kuwategemea wanadamu 😳
Hakika Hapana Rafiki kama YESU ☝️🙏
2026-09-18 10:40:08
2
Micheline Sivanzire :
kweli kabisa
2026-09-19 02:56:30
0
saloshyyy :
true
2026-09-18 17:56:54
0
jj :
Fact
2026-09-18 18:54:20
0
heavy 114 :
💯
2026-09-18 21:23:50
0
EXAUCE KME :
hakuna pesa ya bure
2026-09-18 18:15:19
0
Morgan the king :
Kweri kabisa pastor
2026-09-18 16:32:35
0
happyness :
umeongea point dada
2026-09-18 16:39:54
0
Suzie Sayi :
mimi hapa
2026-09-18 16:28:58
0
verona :
kwakunikumbusha mungu akulide nafuta saivi
2026-09-18 21:38:28
0
Obina :
nikweli
2026-09-18 18:57:04
0
Marium Magesa :
futa namba
2026-09-18 14:26:24
0
zéro stress :
kweli sana
2026-09-18 13:22:48
0
gps :
Uko sahihi kabisa
2026-09-19 04:27:56
0
usitumie pesa kama panya :
kweli
2026-09-18 16:25:31
0
carolinejohn :
asante kwa hawa marafik zang wawil nitunzie hawa vijana mungu
2026-09-18 14:33:00
0
Lazaro Mahundi :
maisha yanabadilika huwezi kujua siku atakusaidia kwenye nyakati gani.
2026-09-18 18:55:43
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.