wangu pia alikuwa km hv wakamroga kapotea yaniiii kapotea mazimaaa🥺
2026-09-18 17:58:04
169
mrs ibrahimu🥰 :
kuna huyu wangu hata boxer yake hawez fua 😂🤣
2026-09-19 06:16:45
84
Briana :
Acheni wivu et ooh na wangu alikuwa kama hivi nyie msifieni mwenzenu mwambieni MashAllah 🥰 bas inatosha
2026-09-18 18:52:31
67
Aira 💕Butterfly 🦋🦋😍 :
Mawifi : Kakaetu karogwa si bureee
Majirani: Mwanaume kama huyu adi Raha
Comment : Kama wangu tu🥰
Mimi : Najiungamanisha na hizi baraka🤝
Ahsante kwa kuisoma comment yangu🙏
2026-09-19 12:41:44
34
Peniella Joram :
Wangu kufua nikitu hataki kusikia kama mlemavu wa mikono🥺
2026-09-18 20:59:49
27
user1847416798080mamushka :
malezi Bora kutoka kwa mamake hongera sana
2026-09-19 12:55:37
7
zeenb al-hajj :
ila boxer ya shem mashalaaah
2026-09-19 14:36:17
0
Janey Luxe Wigs✨ :
Kuna uyu wangu kagoma kabisa kufua na nguo ni zake
2026-09-20 19:09:05
0
TUMAH’S CHOICE🌸 :
Ana mke? Namuulizia Rafk yangu
2026-09-20 13:17:02
0
Nnie🤎 :
Wangu anafua lakini hazitakati sio kusudi ila ndyo ufuaji wake jamn🥺🥺
2026-09-20 19:33:06
0
chuda :
Hio nyimbo nimemkumbuka x wangu
2026-09-18 17:46:58
6
IsoDonAman🇰🇪🇹🇿🦅 :
Saffeh sana[Fire][Fire][Fire]namna io kaka
2026-09-19 19:22:43
2
ninohtz1 :
wangu alikua kama ivyo ila leo anasema nisikalili maisha dah😂😂😂
2026-09-19 09:03:23
7
Mamy naa :
wangu Kila kitu anafanya mpaka kuniogesha
2026-09-20 10:30:13
0
Mamushka :
Mashaallah
2026-09-18 19:47:32
1
Sensei Kiswabi :
Nakubali kaka
2026-09-19 14:07:26
0
E&S🌸🌚 :
Fua baba achana nao😂
2026-09-19 18:59:19
0
Mwajey Mussah :
🥰❤️mamb hayo 👌
2026-09-19 16:08:35
0
Genehaule :
Nataman nisave nikamuoneshe wa kwangu ila mmmmh atasema umeanza kunifananisha na wanaume wengine😂😂sitaki upumbavuu
2026-09-20 10:48:16
1
Mirium Ally :
uzuri anafulia ndani🥰
2026-09-20 05:04:51
0
Azhar_004 :
mwambie mjomba ndio ameamua kutudhalilisha kiasi hiki
2026-09-19 19:12:31
1
Khadija Jafari🎉🎉 :
waliopenda video hii gonga like😂
2026-09-20 13:04:50
1
chioma mjeury🦋 :
kama Kuna kaka ake niunganishe nae maan familia Yao inaonekana Wana uchqpakazi🥹🥹
2026-09-20 19:07:02
0
To see more videos from user @fettysaidy17, please go to the Tikwm
homepage.