Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-22 19:40:52
8
jujuh :
mpo wap?
2026-10-28 18:12:00
1
Theresa louyate♍ :
mm nahitaji kiooo
2026-10-05 15:27:49
1
Fizzah wa Lello🥰❤️ :
Kila mtu angekua na duka usitudanganyee bwana 😂😂😂
2026-09-18 16:44:08
12
miss p25 :
Naitaji nipo mwanza weza kupata??
2026-09-30 07:47:22
2
Ms.Glorie🌸 :
Tujibuni jmn lak 5 nn na nn apo
2026-09-18 13:08:35
3
Lusungu collection 💕😇 :
Yani vyote laki 5
2026-09-18 12:05:57
4
ARAUJO :
hiyo counter ndo Bei gani
2026-10-07 14:43:42
1
Minah Alexander :
uongo huo laki 5 hii hii au
2026-10-06 10:29:22
0
fetty collection :
Laki 5 kila kitu?
2026-09-18 12:25:09
2
muuh_kidooh :
vyote au
2026-10-03 14:18:07
1
Warda meme :
Kioo bei gani
2026-09-25 19:06:01
1
ciello 🦋❤️🔥🇹🇿🎓 :
alafu muachee utani mm nikija nakuj na jopo la wanasheria na judge juu
2026-09-25 20:50:48
1
HEDIYEN :
laki tano kweliii😳
2026-09-29 07:18:50
0
DR.Elly09 :
hapo hamna hamna 2M
2026-10-05 14:24:40
1
Jemmy's🥰 :
laki 5 shelf ngap
2026-10-02 14:45:27
1
Adk :
hv mnaweza kusafirisha hzo kz nje ya mkoa na isipate mchubuko
2026-09-18 16:22:33
0
zulekha ♥️🇹🇿🇧🇮🇦🇪 :
nakuja nahii video na mwanasheria wangu 🤣🤣
2026-09-18 18:41:57
2
Samoa de prince 🤴 :
mmh me siamini uongo
2026-09-19 13:24:11
1
Stella_corset africa 🌍 :
nataka
2026-09-18 13:07:27
1
magreth564 :
waongo hatari🤣🤣🤣
2026-10-22 10:00:20
0
janethnalsisy :
Huvi ni Laki 5?
2026-09-18 10:12:07
0
To see more videos from user @furniture_kitongatz, please go to the Tikwm
homepage.