Kaka, unajuwa mungu ndiye hutupa hekima na ujuzi wa teknolojia. ni bora tuzitumie AI kwa njia nzuri. 😂😂
2026-09-18 14:58:15
11
Ibraah Aman✅ :
ukitaka kugundua kua ni wimbo wa Ai, Ai ina sauti moja Tu habadilishi
2026-09-18 10:56:37
20
one dii :
uk correct
2026-09-18 21:04:38
1
Leah Ngele :
kweli kabisa Ata mm sizikubali at kidog
2026-09-18 10:08:40
12
"KWA NIKO" HOME OF MY SERVICE :
nyimbo tamu bna ,tuache
2026-09-18 12:04:18
7
Debbie :
mm ht sizipendiiii jmn
2026-09-18 11:38:10
16
Its Namara :
i dont like them
2026-09-18 14:35:06
3
Linda Mutuku :
it's true everything about ai ukiwa na roho mtakatifu it hits differently ni mbayaa
2026-09-18 10:22:17
6
janethy :
ni kweli zinaharibu tawsira ya kanisa na ya waimbaji pia
2026-09-18 11:21:02
32
B squared (Esther) :
by the way it has sense I mean ur talking something important now days we al more than origina👏👏👏👏👏
2026-09-18 19:40:13
1
MATOWOTZ :
naweza kuamini hivyo lakini hizo zote zinawatunzi wake na hizo ni cover songs zilizorudiwa na ai, ai haitungi inachukua idea ya watunzi binadamu nisaidie hapo ufafanuzi kidogo
2026-09-18 10:43:05
13
hp💝💝🙌🫦💝 :
mungu atu ongoze sana 🙏
2026-09-18 10:51:20
6
, :
ACHENI UWONGO JAMANI
2026-09-18 11:04:58
5
Eliabu Munyugu :
Ndo maana niliwahi kupendekeza sehemu kuwa wachungaji waende Bible school na pia wajifunze na elimu za kawaida ili kulisaidia kanisa kuelewa injili na siyo kasoro . Sasa AI hapo ina shida gani? shida ni pale ambapo AI itatoa content za uongo au upotoshaji wa neno la Mungu. hii ni reasoning ya kawaida
2026-09-18 13:18:53
5
edu :
true bro
2026-09-18 12:39:17
0
blessed :
Asante sana brother in Christ for your information be blessed
2026-09-18 15:43:50
1
kagame93 :
Mimi nimefuta zote kwenye simu yangu
2026-09-18 14:45:57
6
estherads :
zinakelele tuu
2026-09-18 19:30:37
1
#BMC Boss :
ata mm zinaniboo sana
2026-09-18 19:21:55
1
user278521067169 :
Asante ndugu sikijua
2026-09-18 18:36:26
1
Enah :
Asa kama hapa ww ndo umefanya nikackiliza kwhy umeniletea mapepo au
2026-09-18 17:37:48
1
L'ORIENT ESTHER :
basi tu imbe nyimbo kani pasteur svp
2026-09-18 15:16:14
0
Echo Mteule. :
AI Sio dhambi mtumishi.
2026-09-18 17:22:37
0
weremamwita585 :
True, kwanza hazina utukufu wala sense of moral.
2026-09-18 12:25:58
4
Prince ken :
kweli kabisa...biblia inasema na kila mwenye pumzi na amsifu bwana...AI inapumzi????? haina..hivi karibuni watu watakuwa wazembe kumsifu mungu na wataitumia AI....mungu atusaidie
2026-09-18 19:10:54
2
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm
homepage.