@moradioke88.2fm: Epuka tabia hizi ikiwa unataka kudumisha ndoa yako #taarab #foryoupage #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

Moradioke
Moradioke
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 September 2026 14:35:00 GMT
434919
18616
492
5156

Music

Download

Comments

fettysweet62
fettysweet6 :
Tuachane tu jaman ila kumpa asahau
2026-09-20 01:55:44
34
willyinnocentmuth
mr innocent muthui :
the best thing is to have two wives
2026-09-20 05:34:17
17
jacklina83
Jacklina83 :
Kwani unafikiri tunaogopa kuachwa sasa mama yangu aka,,tuko bize tunatafuta hela😂😂
2026-09-20 16:37:24
58
habibtyrahma09
HabibtyRahma ❣ :
Na sisi wanawake tunaonyimwa tendo mwezi mzima, kila siku mwanaume anasema amechoka, tukae wapi😳
2026-09-21 17:43:38
24
rachel.edson1
It’s Rachel🦋🐝 :
Huwa sio adhabu lkn kufanya mapenz na mtu una hasira nae ni kazi jmn🥺
2026-09-20 18:30:48
23
prenceswanjru1
nick🇰🇪🇩🇪 :
hatuogopi kuwachwa
2026-09-25 12:36:22
15
salahchuma
salahchuma :
je wanaume wanaokaa miezi bila kushiriki na wenza wao imekaaje?
2026-09-19 16:54:37
14
annabellekai254k.n.o
Annabelle Kai♥️🥰 :
n mm pekee yangu ciogopi ku loose Aman in my life ama tuko wengi😳 ciogopi ku loose A man whether you like it or not. Kwan kuishi single ni shilling ngapi. ata kaa mm ni loyal alafu ucheat nikuulize uanze excuse relax wee c wangu tena ukitaka kuongeza ongeza🤣🤣🤣
2026-09-20 10:22:30
4
clintonjohn33
clintonjohn33 :
kwan wanaogopa kuachwa sasa, sasa hv ni kuomba Mungu tu
2026-09-20 12:25:06
19
officialbeat44
Beatrice :
mimi mwanaume wangu kaisha nipiga matukio mpka hisia sina tena 😏😏 vp nakosea 😳😳
2026-09-20 04:50:31
7
user57586168237053
Ray @shaid :
hizo sifa mbona anazo yeye mume kwaiyo hapo inakuwaje
2026-09-20 11:37:43
5
reghan872
🅁🄴🄶🄷🄰🄽🔥🦅 :
nawakumbusha tu wanaume wenzangu saivi mpaka 3000 unaishi vizur kabsa 5000 n VIP😂
2026-09-20 20:50:48
4
ceciliah.masitsa
Thirdborn :
Mi naye mume wangu hata tukikosana after few minutes,anaitisha na nampa tu
2026-09-21 11:13:03
7
brenda.anina
Brenda Anina🥰 :
akitaka kuenda eande
2026-09-22 19:30:45
2
missyoriyorilove
Miss Yori ❤️ :
Aaaahhh hayo mambo mlivumilia zamani bwana msituchoshe siye 😂😂😂
2026-09-21 08:03:57
6
user19712995730998
eunice :
lakin we dada unasema tu unampaje mtu unyumba nalishakupiga matukio, makubwa hisia hazipo
2026-09-21 12:01:41
6
selelani
Sele Lani TZ :
umesaau kufuatiliana mimi Demu wangu Alikua Ananichunguz sana na kunifatilia kila pahara nikaachananae ni wivu uliopitiliza
2026-09-20 04:38:53
5
micheal.mwangala
Micheal Mwangala :
ukweli dada 🙏
2026-09-19 22:27:15
6
sally.sharon0
Sally sharon ❤️ :
😂😂😂kwan kuachana shi ngapi
2026-09-20 08:05:11
0
nyanchoka437
Nyanchoka :
kama mimi sahii siogopi kuachwa
2026-09-23 16:29:18
4
user62819581
Madam boss :
Waume ni wale wale
2026-09-20 11:40:29
4
raelgwiyanga
RAEL :
hujui chenye unasema kwa ground vitu ni tofauti😅
2026-09-22 09:46:33
1
user76205387016146
Madame Opulance :
jambo mama sasa kama ni kosa ya mwanaume ana kataa mwenyewe
2026-09-21 18:57:38
3
sm.snr3
mlongo ngoja :
nakama hataki yeye
2026-09-21 14:09:10
0
user7650625825384
dada :
mmh wao wakituchit je
2026-09-19 17:38:31
0
To see more videos from user @moradioke88.2fm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About