Vyote Unavyooongea kwa ujumla tunaita ni upendo wa dhati,kwenye maisha hakuna anaejuwa kesho yake au kujua huyu ni sahihi au sio sahihi until utakapoingia.so mengine huwa ni matokeo tu na maisha yanaendelea.
2026-09-19 06:26:11
6
TIA HOME & LIVING ARUSHA :
"mme wangu" haya njooni mnichinje kila husiano naita mme wangu😅😅😅😅
2026-09-18 13:18:18
32
Disminder🥰 :
qwisher Mimi🤣🤣
2026-09-18 13:15:13
0
Double tee :
Yaan mm sijui nipoj nipo nipo tu Kweny mahusian usipo nipigia wew ujue tumeachan na sikuuliz 😁
2026-09-18 14:29:15
20
baby g :
mbn umechelewa kusema
2026-09-18 13:02:57
7
user1876678499837 :
kweli, I'm stupid
2026-09-18 20:55:49
2
Rehema Juma :
jamani mbona nimechelewa kuona hii video jamani uwiiiiiiii 😢😢😢aahhhh mhhhhh
2026-09-18 12:35:05
21
CANDIC£ :
Big Reason🥺🥺🥺😌
2026-09-18 20:30:17
0
mariamu abdul rahmaan :
bora we umeongea harakaharaka na kama yana ukweli mwingi asante
2026-09-18 12:58:05
39
Mercy Macha :
nakazia kuzulumiwa na kutapeliwa😆😆🤣🤣🤣
2026-09-18 23:51:25
6
Rammy@Rahma :
swadatha
2026-09-18 13:27:14
1
Staż😋dom :
Ntafanyaje sasa ili niachane nae
2026-09-18 10:48:22
10
team fulusi :
Swadaktaaaaa brother
2026-09-18 12:15:07
1
jazila :
very true
2026-09-18 12:05:16
3
minah Qassim :
📌 kabisa
2026-09-18 10:48:05
5
OFFICIALGOLAN TZ :
nipo chini ya meza nalia sana najuta kwanini sikumchunguza na kujua naolewa na mwanaume wa aina gani anatoka ukoo upi vipi tabia zake aisee hakika tusikulupuke katika mahusiano tumshilikishe Mungu atupe watu sahihi hasahasa kwenye suala la mahusiano najuta sana why mpaka nilizaa nae
2026-09-18 13:33:37
6
user1348012318848 :
kweli kabisa
2026-09-18 10:49:39
5
ChioAura🥀🌸 :
Uuwiiii sasa nifanyajeeee😭😭😭😭 nani nimpe moyo wangu anishikie kidogo aise
2026-09-18 13:26:50
9
Robyn :
ukwer mkubwa huooooo tunao sana
2026-09-18 13:40:15
6
Miss Tea Rious💞 :
Madhaifu yote ninayo ila pesa zangu atatoa
2026-09-18 16:22:25
5
yunis adam :
ngoja tu ninyamaze ninayo magumu moyoni
2026-09-18 12:31:37
8
ratifa :
inatosha tumesikia walah
2026-09-18 11:04:24
7
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.