YANI KILA SIKU MKIAMKA MNAWAZA NJIA NGANI MTAMKOMOA DELEVA YANI HINI NCHI JAMANI
2026-09-18 12:06:14
1
shabaz :
sawa kabisa
2026-09-18 19:13:54
0
Mussa Omary :
nyienyie sawa ntasema nn
2026-09-18 20:48:01
0
😈👿 mission town :
sheria saizi mmeanza kujitungia wenyewe
2026-09-18 18:34:53
0
licious🤗⚡ :
[Sticker] eeh
2026-09-18 10:46:07
0
MBOVU RIDER 🚀 :
Kabisa
2026-09-18 16:38:57
0
Bai :
sasa mbona amna jema
2026-09-18 16:28:14
1
Kumalija Kalyehu :
na wakwa ATT watafanyaje?
2026-09-18 15:51:06
0
✊ :
mnatuchanganya wazee
2026-09-18 12:05:39
0
tanzaniasafariltd :
2026-09-18 12:38:06
0
shukuru94 :
madereva wa geita wanavibuli sana barabaran, wanaendesha pole pole sana
2026-09-18 12:31:57
0
user4862105457320 :
kwani hawa wanatutaka nini labda
2026-09-18 13:24:17
0
juma yusuph :
2026-09-18 11:28:04
0
Abby Kopa Junior :
haha kuna traffic huwa wanatumia privet car wanakaa mbele ya lory na linatembea speed ndogo ikifika eneo la mstar unapokataza ili kumtega gar ya nyuma ku overtake ila usipoipita ikifika shm mstar unaruhusu anaongeza mwendo ili usimpite tabia hiyo ipo sana kwa traffic wa songwe
2026-09-18 16:46:31
0
Familia Kibena :
nyie mnatakaga nin lakin 😂😂
2026-09-18 11:39:34
1
jojjoj :
kwa sasa hayo magari mtaendesha nyinyi sasa
2026-09-18 16:17:29
0
MODO BOY🇹🇿🇰🇪🇸🇴🇪🇹 :
toeni tochi
2026-09-18 11:58:33
0
japhet mandalas kandonga :
mbona sielewi mimi wakati nyie ndio mnaongoza kufanya hivyo mnatutega ilimutupige.faini 🤣🤣🤣🤣
2026-09-18 14:46:24
0
TWAH ALLY :
nachoka babaenu
2026-09-18 12:36:42
0
Muhsin kilua :
Hizipointi 15 zisiwe kwa deleva tu ziwekwepia kwa polisi kwenye maeneoyao yakazi wanayo pangiwa kukiwa namashimo au miundo mbinu mibovu yabalabala wakatwe point mana polic ndy wanaojua zaid madhara ya ajali navyanzo vyake pamoja na madeleva tushilikiane wote tunao husika nabalabal
2026-09-18 12:11:20
0
ramadhanidd899gmail.com2 :
Mbona mmeweka na tochi tena wanakaa vichakani au uki-ovartake mnamlima faini dereva?
2026-09-18 15:50:45
0
Madebe :
mbona asikali unakuta anakigali chake kidogo ukimpta anakupga pcha unaenda kukamatwa mbele vp alafu awa asikali barabaran wanasumbua sana unakosa wanakupga chet
2026-09-18 10:45:28
0
likedsimba :
mwenye nguo nyeus zt
2026-09-18 17:44:05
0
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.