@habarimpya_tv: Miaka 30 ya Bongo Fleva in Arusha,.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 10:40:44 GMT
22821
1095
35
31

Music

Download

Comments

user9194722990944
mussa_khalipha :
hiyo picha yanini sasa kwenye ngao mngeweka hata picha ya simba
2026-09-18 12:23:09
6
ammystudio_
𝗔𝗠𝗠𝗬 STUDIO ARUSHA :
😂😂😂😂😂 mnaleta Msanii gani uyo hatuj tena
2026-09-18 12:14:49
0
take_five_africa
Take_five_africa :
sasa picha za nn?
2026-09-18 16:59:13
0
camluss1
camluss1 :
Was mama necessary 😂😂 Tanzanian
2026-09-18 12:48:39
1
perry_the_coder
PERRY_COLLECTION_WORLD :
pale ambapo fido anakutana na mmarekani kabisa jinsi anavyokua mdogo maana yeye anajikutaga mmarekani
2026-09-18 16:07:55
1
cheguevara423
big boy :
picha ya ya uyo tena
2026-09-18 11:24:30
1
user1369148302421
user1369148302421 :
atuji tena iyo picha ya nn kwenye ngao
2026-09-18 13:40:03
1
dicksonamon190
Dickson Amon :
hiyo picha ya kazi gani
2026-09-19 13:06:44
0
masaisamaki
laizer magari :
apo kwenye iyo picha tu
2026-09-19 18:58:52
0
juniorchalers6
Junior Chalers :
hapoo xaxa RAMBO LOD WAKUU WA A TOWN WAME MKARIBISHAA JOMBAA
2026-09-18 11:12:46
0
tajiri.ngoiva
Tajiri ngoiva :
hhii Mila yetu inapotea
2026-09-18 20:30:28
0
user10045441808158
Dafur Dakar :
mlianza vizuuri ila dah
2026-09-19 08:29:41
0
philipsikoi
Philipsikoi :
apo kwenye ngao tu ndo wamearibu wangeweka ata pcha ya simba
2026-09-19 07:33:41
0
olchokut
olchokut TZ 🇹🇿 :
mnawekaje picha ya mtoa roho ya Tanzania
2026-09-18 15:43:14
0
tornadowarning70
Ganzi :
picha ya huyo tena
2026-09-18 12:17:41
0
ombenishaban
Ombeni Shaban :
yani ka Fido vato kanajidaigi kamtu flan kama umenuna lzm ucheke mwamba mtu poa sana
2026-09-19 02:29:37
0
yohananails2
Yohana Nails :
hapo kwenye picha ya b mdashi nashindwa kwalewa
2026-09-18 18:43:00
0
erickson98960
Erickson :
mmmh
2026-09-18 20:14:23
0
azizisaidi763
Azizi Saidi763 :
fundi wa mziki mr cheeks mlost
2026-09-18 12:21:46
0
junior.jr.nako
Gerald :
for the love of HipHop
2026-09-18 14:00:28
0
user774034403673
jackline :
fido hapo anafanya nn jamani Arusha tunawakilishwa na dogo janja
2026-09-18 16:45:44
0
spitfiremusicprod
spitfiremusicprod :
mnafanya watu wazidi kumchukia na hyo miaka 30 ionekane ni siasa pumbavu kabisa
2026-09-18 15:58:19
0
mpondo.b
king B :
mbina hawasemi karibu kwatu tanzania usikute Arusha ni nchi 😂😂
2026-09-18 15:37:13
0
junior.jr.nako
Gerald :
maelekezo ya hio picha kwenye ngao yametoka kwa madii?😂
2026-09-18 14:01:11
0
chuganonyx
chugan onyox last dayz 💵💵 :
oy lost boyz
2026-09-18 12:13:06
0
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About