@getrudehealthcare: 🚨 DALILI ZA PID KWA MWANAMKE 1️⃣Maumivu ya chini ya tumbo/nyonga 2️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa 3️⃣Uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni, hasa wenye harufu mbaya 4️⃣Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa 5️⃣Kutokwa damu isiyo ya kawaida kati ya hedhi au baada ya tendo 6️⃣Homa, baridi au kujisikia dhaifu 7️⃣Maumivu ya mgongo wa chini 8️⃣Maumivu wakati wa hedhi PID INATIBIKA KABISA BILA KUJIRUDIA #fypシ゚viral #afyayauzazi #afyayamwanamke