Na bills sitalipwa aje? pia Kuna soldiers or caretakers even pastors
2026-09-18 20:16:19
1
Daisy ❤️ :
My status will shine today
2026-09-18 16:02:35
0
Nashon Joice :
this is end times....confusion will come
2026-09-18 18:36:32
0
Shem Kinyanya :
you are misleading God's people by reading one scripture, plz someni vitabu from old testament to new testament
2026-09-18 18:52:24
0
timo :
malachi 3:10
2026-09-18 16:20:44
3
Willy's designer👖 :
Hii video ifikie Mama Shiro
2026-09-18 16:33:16
11
Rioba :
this man has a point
2026-09-18 18:51:42
1
#nice*one*only :
kwaza hii video ifikie hao wote😳😳
2026-09-18 15:23:43
11
min joe :
Yesu ni wetu ata kama alikataa,
2026-09-18 14:00:19
8
mhubiri :
Malaki 3 : 10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
2026-09-18 19:20:58
7
voucher 254 :
Weeeh mimi kwanzia leo si mkiristo.nimebadilisha kuwa mwislam sasa
2026-09-18 18:33:28
2
Simon Prosper :
Mimi hata useme Nini me bado nitatoa dhabiu,zaka na sadaka coz kwa bible Kuna vifungu vingi kwa bible kuhusu matoleo
2026-09-18 17:12:03
4
Beatrice Muketi :
mnajua hao watu wako na viherehere kwa midomo,watakuchanga mpaka uone wanasema ukweli,
anasema nataka rehema na sio sadaka ila mwisho wa hayo maelezo anasema na hayo mengine mlokuwa mkifanya msiache kuyafanya kwa hiyo yeye alifundisha mwanzo wa Ibada afanyayo mtu aanze na kuomba rehema juu ya maisha yake ndipo mengine ndani ya ibada yaendee kwa kuwa yameamriwa pia
2026-09-18 19:38:58
0
Talia titus🇰🇪🇺🇲 :
kwa mosque hakunanga sadaka guys?
2026-09-18 19:24:54
1
Josephine :
mm mutu hajaniitisha sadaka nimetoa mwenyewe kwani n dambi
2026-09-18 17:33:17
0
edwardo :
heri mtu kujisomea biblia ukiongozwa na roho mtakatifu
2026-09-18 18:35:06
0
Soloo🇰🇪🇳🇴 :
siezi pea mwanaume pesa mimi
2026-09-18 17:06:46
0
pst John Wilson :
Waheburania 7 v1 to 9
2026-09-18 14:53:22
1
To see more videos from user @safiyamuslimah1, please go to the Tikwm
homepage.