god bless you pastor that destroying amen 🙏🙏🙏💪 elonelo ilangu
2026-09-19 05:20:14
4
Esnas Yaya-3/03 :
sasa mtu wa 61 anaeza oa mtu wa miaka 36
2026-09-18 18:55:20
5
man of God :
blessings is your potion sister
2026-09-19 04:12:06
2
Kazadi Douglas :
nikweli dada courage
2026-09-19 07:40:36
2
Binaisa :
that's true
2026-09-19 18:25:31
0
Akothann :
nimeona nyanya wa miaka 50 ameolewa na kijana wa miaka 36 si hatia hiyo?
2026-09-19 07:24:41
4
Mrs Tobias :
kunywa soda kwa bill yngu
2026-09-18 15:39:04
5
BKR :
pastor unaishi mbali na mm,ningekununulia soda.maana unasema ukweli
2026-09-19 08:52:39
1
Jose bosiana :
Unasungumzia mambo yenye hekima sana 🥰🥰🙏🏾
2026-09-19 04:45:18
3
Mwl mika daniel :
Umeongozwa na Roho Dada tukifundisha sisi wanaume watasema tunajitetea ila huo ndo ukweli barikiwa sana.
2026-09-19 04:05:51
4
Cheupe :
sio kweli mimi nilimuoa mke wangu wote tunalingana miaka 20 mwaka 2000 tunaishi mpaka leo tunaamani na furaha tuna watoto 5 sasa inategemea huyo kijana yukoje
2026-09-19 21:04:40
0
user39707816700700 :
Madam ur very true,Barikiwa sana
2026-09-19 01:42:33
3
Khalawa Peter :
ushasema
2026-09-19 04:57:56
2
user1607777202530 :
mungu akubaliki kwa maneno ya busala
2026-09-19 08:17:45
1
Joseph salaton :
nikweli dada
2026-09-19 01:43:10
1
Benjamin mwasi :
wapashe basi😊😊☺️
2026-09-19 04:36:24
3
Big daddy :
ameem
2026-09-19 09:58:24
1
Alain Ramazani :
mesema neno dada, ubarikiwe.
2026-09-19 03:57:22
1
BudabossTito Mwololo :
kabisaa
2026-09-19 05:34:59
1
Editha Mlelwa :
kama yupo anitafute
2026-09-18 12:28:23
1
user6907486216130 :
kunywa soda kwa bili yangu
2026-09-19 10:39:33
1
Gab Kyman Kyman :
ukweli huo
2026-09-19 05:18:59
1
esther :
amina
2026-09-18 16:39:53
1
To see more videos from user @pastorleahndabila, please go to the Tikwm
homepage.