mimi nishaota na president wote.
kuota na Kasongo tukiwa Sugoi is what shocked me.
2026-09-18 16:59:09
2
Eng.okongo mongare :
for real nimeota more than four times nikiwa na president,,nikiwa na mp,,nikiwa some civil servants
2026-09-18 14:57:58
11
Collince Sons :
I have been dreaming with president,my governor,even world leaders in conference,not once not twice, in fact I even dreamt being president before he was electing
na mtu kuota akiwa amerundi kazi penye aliacha ama aliachichwa
2026-09-18 12:01:53
3
Anyango Becky :
last yrs mwezi wasita nilitoa nko na raila tunapanga. file. nayeye
2026-09-18 17:16:59
1
miriamkilili :
Ameen amen
2026-09-18 11:23:32
1
Anne :
niukweli niliota mara mbili nikiwa na president Uhuru, sahii maisha yangu imebadilika. Asante Mungu🙏🙏
2026-09-18 15:05:59
4
Nash :
kuna siku nilikua naendanga church, iyo church is not that big I doubted uyo pastor ako na wivu sana, sasa ile time wanaubiri ukiota lazima uende uambie pastor wako,,kwanza niliota pastor Ezekiel ananishika mkono na imagine sikuai mwatch nikaambia pastor wangu nikaona amefeel mbaya nikanyamaza, then nikaota Ruto ananisalimia nikamuambia pia nikaona amefeel mbaya, walai life yangu na iyo church was miserable, halafu sasa nikaonyeshwa uyo pastor amegundua nko na wisdom anajaribu kunisengenya kwa committee members wake,,walai niliacha church na hapo mungu akaanza kunibariki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kuanzia iyo siku ata nikiota siambiangi mtu people are enemies out here
2026-09-18 17:11:17
1
KAKAMEGA Furniture0718357686 :
Nani ndio alifanya Io research.
2026-09-18 16:09:19
2
Susan Chepkorir :
naota tukiwa na president uhuru,ruto na bibi ya ruto.mungu nisaidie
2026-09-18 17:16:05
1
chiky chiky :
𝑻𝒉𝒂𝒏𝒌 𝒚𝒐𝒖 𝒍𝒐𝒓𝒅
2026-09-18 11:12:30
0
Mercy Opondo :
wooiiii..mi nimewaota saaana adi naona nawapikia chakula tunakula pamoja,sasa mimi hujiuliza jamani na vile am soo down in life,sasa huwa sielewi kabisa..yaani mi huota kama kwa mwezi mara nne ivi
2026-09-18 14:01:54
1
mourine Nyar Rongo❤ :
imgn niliota tukiwa na Rais Ruto ,Mungu tenda jambo
2026-09-18 15:23:06
1
metrinelinyonyi :
niliota na sifuna
2026-09-18 17:16:24
1
Leticia Legnard :
Niliota nimepewa begi lenye dollar tupu, siku nyingine nikaota niko bank nimepewa dollar nyingi sana.maana yake ni nini?
2026-09-18 12:00:07
0
esperanzaboninga :
huyu ni mimi umeongea hapa ndugu yangu
2026-09-18 12:25:36
2
jacque_qirui :
Mimi Kila mara na president
2026-09-18 11:47:53
1
Asha🥰 :
Amina amina
2026-09-18 17:36:31
0
To see more videos from user @pstevanskyalo, please go to the Tikwm
homepage.