@jimmy_mofuga_mindset: Ukitaka kubadilisha maisha yako, anza kubadilisha Taarifa Ulizokuwa Nazo Kwa Kubadilisha watu unaokaa nao. Mara nyingi mafanikio hayaandikwi kwenye vitabu tu, yanaishi ndani ya watu waliokwisha yafikia. Ukipata nafasi ya kufahamiana na mtu aliyefanikiwa, unaanza kuona dunia kwa macho tofauti — unajifunza namna wanavyofikiri, wanavyofanya maamuzi, na wanavyoshinda changamoto. Kumbuka: Mafanikio yanaacha alama. Ukitembea karibu na mtu aliyefanikiwa kwa muda mrefu, utaanza kufanana naye kimawazo, kimtazamo na hata kimatokeo. Usione aibu kujifunza, kuuliza maswali, na kujenga mahusiano na watu walioko mbele yako. Wakati mwingine connection moja sahihi inaweza kubadilisha maisha yako milele. Chukua hatua leo — tafuta mtu aliyefika unapotaka kufika, jifunze kwake, na uanze safari yako ya mafanikio. #MindsetYaMafanikio #ChukuaHatua #Uongozi #Mafanikio #Motisha
Jimmy_mofuga_mindset
Region: TZ
Friday 18 September 2026 10:53:47 GMT
Music
Download
Comments
neuroblast innovation :
kumbe thamani ya mtu Huwa ni ujuzi flani ambao unaweza kumpatia pesa au anakua na taarifa nyingi za kuhusu pesa 😲😳 🧐🤔
2026-09-18 16:17:22
1
THE MIND🚫 :
[Fire][Fire][Fire]
2026-09-18 11:26:56
1
Mussa m. :
🤝
2026-09-18 14:12:48
1
To see more videos from user @jimmy_mofuga_mindset, please go to the Tikwm
homepage.