@joyuzuxu: #aespa ꒰⁠⑅⁠ᵕ⁠༚⁠ᵕ⁠꒱⁠˖⁠♡!

✯
Open In TikTok:
Region: AU
Friday 18 September 2026 11:01:01 GMT
149
27
1
7

Music

Download

Comments

mjorja
Jorja :
2026-09-18 21:33:13
0
To see more videos from user @joyuzuxu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Dada, unanyoa leo halafu baada ya siku mbili unashangaa kumeota vipele vigumu? Ukikiminya tu, kinatoka kitu cheupe kama chunusi halafu maumivu yake usipime! KAMA PIA UNANYOA UKENI BILA KULOWANISHA NA MAJI HALAFU UNAPITISHA WEMBE KINYUME? USISHANGAE VIPELE! Najua Unashangaa kwanini kila ukitoka kunyoa ukeni unaishia kupata vipele vigumu vilivyofunga usaha (kitaalamu tunaita Razor Bumps au Pseudofolliculitis Pubis)? Tatizo siyo kwamba damu yako haipatani na wembe! Tatizo ni kwamba unavuta ngozi na kunyoa kinyume na uelekeo wa nywele tena kwenye ngozi kavu. Nywele zikianza kuota tena, zinarudi ndani ya ngozi na kutengeneza vipele vya maumivu! KAMA UNATAKA KUKOMESHA ADHA HII, ACHA MAMBO HAYA 8 LEO: 1. KUNYOA NGOZI IKIWA KAVU Lowanisha eneo hilo kwa maji ya uvuguvugu kwa dakika 5 kwanza ili kulainisha vinyweleo. 2. KUTUMIA WEMBE BUTU Wembe butu unakubidi unyoe kwa nguvu na kualika bakteria. Tumia wembe mpya na mkali, Kila Unaponyoa. 3. KUNYOA KINYUME NA UELEKEO WA NYWELE Nyoa ukifuata uelekeo wa nywele zinapolala (kuelekea chini), sio kupanda juu! 4. KUVUTA NGOZI WAKATI WA KUNYOA Ukivuta ngozi, unakata kinyweleo kwa ndani sana na kikianza kuota kinajipinda ndani. 5. KUMINYA AU KUTUMBUA VIPELE Kuminya kunasambaza bakteria na kuacha makovu meusi yasiyoondoka haraka. 6. KUVAA CHUPI ZA KUBANA NA ZENYE MATERIAL YA NAILONI Zinaleta jasho na msuguano. Vaa chupi zisizobana sana l za pamba (cotton). 7. KUTUMIA SABUNI ZENYE MARASHI MAKALI Sabuni zenye manukato zinaleta mzio (allergy) na Hali ya kuwaka moto uko chini Baada ya Kunyoa. Osha kwa maji safi tu, au Sabuni ya Kawaida ya Kuongea kama Detto Ukipata ni Mzuri sana. 8. KUNYOA KILA SIKU AU KILA BAADA YA SIKU 2 Ipe ngozi mapumziko ya wiki 1 hadi 2 ili ipone kabla hujairudia tena. Baada ya kunyoa, paka mafuta kama vile ya Nazi au aloe vera gel ili kutuliza ngozi. Mara nyingine tatizo si kwamba “sehemu zako za siri hazipendi kunyolewa. #fyptiktok tiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokindia #tiktokkenya🇰🇪 #fyp

About