@abdulhafidh575: 🙏💭

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 11:23:41 GMT
50289
2987
83
197

Music

Download

Comments

user9602109084401
mamy :
ndoto za mchana naziogopa mana zinatokea kweli
2026-09-18 20:32:59
14
user82979252757815
muhamed :
asante
2026-09-24 21:17:47
0
rukiasaidi5
Talq momy 123🇹🇿 :
jmn ndoto za mchana ukwel jmn mm naota yanatokea kwel 🥹
2026-09-18 16:03:30
11
mamasalhia3
mama salhia :
shehee nauliza ivi swala ya saa mbili ukiswali saa 19na dakika 40 au 30 inakubalika
2026-09-18 17:01:17
3
fainaawadh886
malkia aminafaraj🥰🥰 :
assalamualaikum kuota ndoto ya nyumba ambayo haijaisha mara kwa mara inamaanisha nini[Pray][Pray][Pray]
2026-09-18 12:38:50
1
bahati.seif7
Bahati Seif :
mimi niki lala tu siyo mchana wala usiku lazima nitaona watu tena ananibeba
2026-09-18 12:04:31
4
sheriebb
chriebb2 :
Allah atupe mwisho mwema shekhe wetu
2026-09-18 21:20:16
1
passion.love37
passion love :
mmi niki lala alasir naumwa na kichwa balaaa ...
2026-09-21 19:24:23
0
ummrashah
ummrashah :
Asubuhi ya ijumaa kiboko tv asa
2026-09-18 13:03:05
4
dorcas76194
🎀Dorcas🎀 :
ndoto ya mchana niya kweli mm niki ota mcha ina kuwa kweli kabisa
2026-09-23 14:08:00
2
official_dadaakejameel
🌟 KAY🔐❤️👸♒️🌟 :
Shukrani sana kwa somo zuri
2026-09-18 13:07:25
5
judy_namakoye
JUDY :
thank you so much bro
2026-09-18 20:09:17
1
aishaamirikalakac
meme loce :
mchana ni ujumbe unakuja
2026-09-22 20:00:29
1
khamis.masms
Khamis Masms :
kweli kabisa
2026-09-18 17:36:36
2
chuchakay
chuchakay :
kuota unapigana na mtu inamanisha nini
2026-09-18 18:59:41
1
nadia65223
Nadia :
nikwer kabis
2026-09-18 17:37:09
2
jokha744
jokha :
nilikuwa nasubir hiii maana mm nikiota mchana linatokey kweli asant sana shekh
2026-09-18 17:53:27
2
user12957375427770
HAODO BUYA :
Ameen.
2026-09-18 17:25:32
2
abdrichtemba
Abdrich Temba :
Allah akubariki na akupe umri mrefu wenye manufaa ndani yake amiin
2026-09-19 11:23:01
1
user108036051234
Leigh :
2026-09-18 17:18:46
2
kabigala
Ibrahim :
swali langu ni hili sasa kwanini roho huwa inaona viti vya mbele kabla havijatokea unakiota kitu kesho yake kinatokea kwanini na wewe umesema roho huwa unaona vitu vya kiroho vyengine sasa inakuwaje apo
2026-09-19 07:21:43
2
amina.siriyko
Amina siriyko :
Aslkm tutakupata vp
2026-09-18 19:28:31
1
userjeshi.la.mtu.m
userjeshi la mtu mmoja :
hii nilikua nausubiri kwa hamu maana vijiweni tunasema ndoto za mchana so ndoto shekhe naomba no yako tafazali
2026-09-18 16:33:14
2
reerama1
❤️🦋 Ree ❤️🦋 :
mmi hua naota asubui kama saa kumi na mbili ama saa moja lakin hua yatokea kwel
2026-09-18 13:05:38
2
mama.nurto.baby
Mummie’s daughter ♥️🇰🇪. :
Mtume amesema toka za ukweli ni majira ya Alfajr.
2026-09-18 16:45:58
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About