Nilichopenda kutoka kwako ni kuutambua uwepo wa mungu wambie watu wa kidunia wasioamni mungu wajue kuwamungu yupo wasilete siasa za kisayansi
2026-09-18 15:52:40
35
Captain :
Huu mwezi mnataka kutuconvince tuingie sana and the end your almost wining
2026-09-18 21:17:24
1
🫂🔥♀️I'M BLESSED ✳️🤍💫🔥 :
BADO UJACHELEWA KAKA RUDI KWA MUNGU WAKO MUNGU UKIMUACHA NAE ANAKAA PEMBENI MRUDIE MUNGU NAE ATAKURUDIA NA ATARUDISHA KILA KILICHO IBIWA🙏
2026-09-18 16:26:45
34
Jackie🤎 :
It’s always the chosen one the devil attacks!
2026-09-18 23:58:42
1
mr godlove :
you watching this video May God guide and protect you one love
2026-09-18 11:38:41
21
Way_maker :
story yak inatufundisha nn
2026-09-18 12:10:01
11
greenyrich_businezz28 :
well said brother may the clean spirit of Jesus keep hunting you to the light.
2026-09-18 18:16:20
2
Evangelist ELISHA :
Ninavyo kusikia wewe tayari Rehema za Mungu zipo juu yako. naamini mda si mrefu Utarudi kwa baba yako,... maana Mungu anapenda wanao jitambua.
tunakupenda sisi wakristo na tuna kuitaji saaaana
2026-09-18 13:56:11
23
Dada Neema832 :
Mungu akitaka kuja kumtumia mtu ananjia nyingi mara nyingi anapitia mbali godlove anatengeneza ushuuda na mtu ambaye anatenda kinyume na Mungu lakini moyo wake unajutia huyo mtu roho mtakatifu yupo ndani yake muda wowote atamtumia hakuna haja ya kumhukumu kwa lolote
2026-09-18 12:38:20
15
ms_liliane :
Ulitengwa na Mungu tangu ukiwa tumboni mwa mamayako😊Mungu wa rehema zote atakurejesha
2026-09-18 12:31:51
12
Melisiana :
umenifundisha kitu kikubwa sana🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 18:14:55
8
zuberi :
leo kaongea kweli 😆😂 ila pesa
2026-09-18 13:03:36
5
Megga🤍 :
Duniani kugumu,ukiwa ujapata unaambiwa utafte malı na vyote unavoviona n vya M/Mungu,ukivipata ni vya shetani 🥲…Rudi tu baba aaaaagh
2026-09-18 12:03:50
17
@Ebby_tz🫢 :
Hakuna uharibifu unao weza kushinda rehema na neema za Mungu, Praise the Lord
2026-09-18 12:56:49
13
Mhehe mshamba :
heha movers
2026-09-18 11:36:18
2
MLOPA :
pole sana lakini IPO siku MUNGU atafanya kitu
2026-09-18 13:48:43
10
chil_200 :
haraf watu wanazan ni content this is real.. man..
2026-09-18 13:35:06
5
julieth Kimaro🌺 :
Kaka chief Mungu bado ana kupenda ata kuzungumza hivi ni kwamba Mungu ana mpango na wew
uja chelewa bado
2026-09-18 12:59:37
7
Peniel Abraham🇧🇮💓 :
Kiukweli nimejikuta naumiya shetani kumbe alijua ww ninani badae kwenye ufarume WA MUNGU ndio mana kaamua kukufanya hivi Leo ulivyo rakin Namini Mungu aliluhusu upite Huko ili badae ajitwalie utukufu kupitia ww KO Namini Mungu alichopanda Ndani IPO siku kitaleta matokeo mzuli Mungu akusaidie sana rakin usikaidi sauti ya Mungu mana mandiko yanasema itakusaidi nn upate ulimwengu mzima harafu nafisi yako iende kuzimu Fanya mamzi sahihi bado mrango uko wazima kabra lango halijafungwa wahi wahi chagua kumtumikiya Mungu atakupa Zaid ya hivyo ulivyo navyo mana hizo ulizo Nazo mwixhoe zinamajuto
2026-09-18 14:00:42
7
Alice Josh :
However, hell exists and is eternal; it is better to choose a life of peace, for our Savior is returning to judge us according to the lives we have lived! (Refer to Matthew 16:26) For what does it profit a man to gain the whole world and forfeit his own soul? Earthly possessions, status, and wealth remain here on earth at the time of death.
2026-09-18 12:14:13
5
wande mapambo💯💯 :
video zako huwa nazipitaa lakin ya leo
2026-09-19 02:56:59
1
😘da T :
karibu ukweli tutaujua bwana yesu asifiwe
2026-09-18 23:10:44
1
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm
homepage.