Bwana wee me mapenzi y’ameisha nishinda,Niko hoi now
2026-09-18 15:05:42
6
JANETHO :
jaman janeth
2026-09-18 11:57:15
8
norah :
mwanaume hataki uvae trouser lkn ana date wale wanavaa trouser please tell about that man
2026-09-19 11:43:27
1
Rosee maku :
Broo napenda advise zako
2026-09-18 12:23:31
8
Ebony🤎 :
Mi mtu asinipangie na hanihudumii kwa chochote😏😏wa kuenda na aende😅
2026-09-19 14:56:33
2
faraja George :
Wakwangu hataki Nivae suluwali na hataki niwe na mambo mengi
2026-09-18 12:21:11
8
mom kevoo💞 :
aah frank wangu ndo hataki kabisa kuona navaa nguo fupi jamani but naenjoy akinigombeza utaski hiyo nguo siitaki😁 akati first time ananiona nikua mevaa gauni fupi daah
2026-09-18 16:07:04
1
@officiallneeh-08 :
Kwanin janeth lkn...🥺🥺🥺
2026-09-18 18:37:22
2
Lilian 🥰💃💫 :
oooh vyote nilivanya alivotaka na bado tukaachanaa🥺🥺🥺
2026-09-19 07:56:21
2
Miss Hilaly😘😘 :
na mm apo kweny mavaz anunue tu no problems☺️☺️
2026-09-19 00:52:44
3
@chela🌹 :
Ningekusikiliza kama nisingeachwa, na isitoshe vyote unavyosema nishapitia
2026-09-19 14:49:26
1
adi jack🥰 :
aishaaaa
2026-09-18 20:31:29
1
Luxy Zizo :
First Comment
2026-09-18 11:46:14
4
Naah💞💙 :
mimi ananizuia kuvaa suruali ila anaonichit nao wanavaa suruali na vimini. Sijuhi uwa ana maanisha nini ndo maana nimemuacha mimi
2026-09-18 20:15:03
2
🇹🇿It's me😛😛 :
kama mme wangu TU anawiv Ka nin
2026-09-19 06:51:14
1
LEOMJ BUSINESS :
wangu anapenda cargo na official trauza
2026-09-18 17:21:44
4
Lilian 🥰💃💫 :
oooh vyote nilivanya alivotaka na bado tukaachanaa 🥺🥺🥺
2026-09-19 07:56:44
1
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.