@luxurywamanoti: Leo tulipata nafasi ya kwenda kumtembelea dereva mwenzetu @Shaury Aron jr alipata ajari ndugu zangu madereva watanzania tunomba msaada wenu kwa chochote ulicho balikiwa mcheki 0746689899 jacob peter@afisausafirishaji kwajili ya michango umoja ni nguvu #luxurywamanoti #tanzania🇹🇿 #hospital @JANJARO TRUCK DRIVER🇹🇿 @KING ~ SHARIFF @My_Fuso @mr_buza_buzani_og⚠️ @خطيب جمال @putin @Lodneyboy @mamen piere🦘 @𝐍𝐨𝐚𝐡 𝐃𝗲 𝐁𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭𝐞r @MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ @BABA G @Tif Pac Yaoh
LUXURY WA MANOTI
Region: TZ
Friday 18 September 2026 11:35:21 GMT
Music
Download
Comments
sniper mtoto :
pole snaaa broo😭
2026-09-18 14:04:21
0
user1284156394736 :
Pole San
2026-09-18 13:42:08
0
cute lilah🥰😘 :
allah a
2026-09-18 13:47:58
0
BABA G :
😭😭😭dah tumwombe mungu Sana inaumaa
2026-09-18 12:18:00
12
kibungo26 :
ila huyo mgonjwa NI handsome jamani mungu amfanyie wepesi
2026-09-18 13:09:25
10
minnah Smoothie point🥤😋 :
Basi muwekage namba totoe sadaka zetu hata kidogo tu jmn 🥹
2026-09-18 11:49:38
20
sarah :
🥹🥹🥹🥹🥹🥹
2026-09-18 13:38:14
0
dan :
polen san family mungu ampony wepes uta ponat
2026-09-18 12:37:02
5
bruzal :
Bora nisinge ona hii, nimelia Jmn
2026-09-18 12:33:49
2
Moses👑🦅 :
Mungu atamwinua kwa mara nyingine tena very painful🫂
2026-09-18 12:15:12
17
🚔 Mleke 🚔 :
Daaahhh 🤦♂️🤦♂️🥹🥹
2026-09-18 11:48:28
5
Ney-praygod🌸🦋 :
2026-09-18 13:28:05
1
Francis Ngure :
accounty ..
2026-09-18 11:41:45
0
mwaija madinda :
Ukiona mwanaume analia aise. Inauma
2026-09-18 13:09:03
1
am young-kotha003🤪🤪 :
Inaumiza sana 😭😭
2026-09-18 12:53:06
2
p.p.chuwa :
pole kaka jaman umenifanya niliye kwasababu inaumiza sana
2026-09-18 13:28:48
2
mamenkosea861 :
pole sana kaka utakua sawa son
2026-09-18 11:49:57
3
www.tiktokfrankamos :
Daaaah pole sana jamani hii kitu lazima ikutoe machozi
2026-09-18 12:15:02
6
THE MVP🏆🚛 :
Daaah 🥹
2026-09-18 13:27:11
1
love :
weka no ya muhusika hap, utawexa kumtumia kila mtu dm?
2026-09-18 13:57:42
0
Lilian :
Je Kuna uwezekano akasimana tena? naomba namba yake jaman . eh Mungu
2026-09-18 13:20:22
1
SMART DRIVER🇹🇿🇿🇲🇿🇦 :
duuuuuh 😭
2026-09-18 12:05:00
3
mudrick80 :
Oya naomba mawasiliano ya uyu jamaa
2026-09-18 12:17:17
2
💎 millionaire mindset 🧠🧿💰) :
polee bwana utakuwa sawa inshallah
2026-09-18 13:41:51
1
Emily :
mwenyezi mungu awabariki wapambanaji wote
2026-09-18 12:47:38
1
To see more videos from user @luxurywamanoti, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.