@awakenedgiant1: Changa karata zako vizuri. #Maisha #Uhuru #Utambuzi #KUMBUKA #tiktoktanzania🇹🇿

Awakened Giant
Awakened Giant
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 11:46:30 GMT
61314
5366
104
403

Music

Download

Comments

salmayusuph57
Salmayusuph🥰🥰 :
yaaan mara zote najsemeaga Mimi sio wahapa haya sio maisha yangu Mimi ni wajuu nahuwa nawashangaa wanaoridhika na maisha ambayo Mimi nayaona yaajabu etii
2026-09-19 10:38:49
49
stephen_mtumbuka
Stephen Mtumbuka :
madini ya buree , thanks bro
2026-09-27 17:54:25
6
iammrsdaddy
Winnie :
Nina rafiki angu nimlevi akiwa ana lewa Kila siku anapat Hela ila akisimea anaacha pombe na kuanz kuweka malengo hela zinamkimbia mhh Hadi huruma anarudi kwenye pombe ten
2026-09-29 17:50:47
6
introvantrubiby01
OFFICIAL RUBIBY ♈ :
yaani mm brother niko very weak kuwasaidia wengine siwezi kumnyima mtu kwakweri mm kila siku nipo kwenye low vibration brother
2026-09-29 20:26:08
6
azycaramel
caramel 047 :
ongea haraka bana tunataka solution 🫴
2026-09-30 05:34:32
8
dantobbys0812
Dant-Obby's :
uongo Boss huo sio kwel inategemea na Akili ya mtu na malengo yake pamoja na mipango thabiti
2026-10-08 11:15:56
3
adamsolomonmawira
Adamsolomonmawira :
haki ni mimi
2026-09-29 02:22:01
2
kingkidude
kidude :
imekaa kiutu uzima sana
2026-10-11 21:25:37
3
yudadaudi335
Yuda Daudi :
kaka ndio useme je ni njia hipi ya ya kujiponya
2026-09-18 17:53:09
5
smartpeople901
SMARTPEOPLE :
huyu jamaaa mbona ana akili nyingi sana aiseee
2026-09-20 10:41:41
5
msegeju
GR star :
nakuelewa kaka,naomba kitabu chako
2026-10-10 06:12:05
2
emmicklamaroffici
emmicklamar official :
asante kaka unamadini hata msikitini na kanisani hatupati
2026-09-19 07:05:33
5
bintmuhaji002
Bintmuhaji002 :
shukran sana
2026-09-18 15:15:46
5
gemikay3
Mwenyetiki :
True ✅
2026-09-29 20:31:54
3
shevyshenco356
Shevy Shenco :
naomba namba zako
2026-09-21 07:34:46
3
moro_iphone_dealer
OTILE IPHONE DEALER🇹🇿 :
100
2026-10-10 10:24:48
2
angaliacodevizuri
angaliacodevizuri :
asante bro
2026-09-30 11:17:46
2
chuma4704
chuma :
akili kubwa
2026-09-18 16:03:23
4
fravian.369
fravian 369 :
mimi mbona sijakuelewa ukisema niwekeshe!!
2026-09-18 16:31:24
4
mariam.hamis72
Mariam Hamis🧜🏾‍♀️🧜🏾‍♀️🌊♓️ :
Yaani 🤦🏾‍♀️🤷🏾‍♀️
2026-09-20 18:21:52
2
neggoscott128
Giddy N :
only means understand you bro
2026-09-19 19:29:05
4
iammrsdaddy
Winnie :
ukisema uponyaji wa ndani unamaanish nn umeniacha hapo
2026-09-29 17:55:12
1
kikikikis18
Kiki :
hongera sana
2026-09-19 18:30:11
1
rddecocraft_finishing
𝐑𝐀𝐙𝐀𝐂𝐊 :
mr ponda mali😁
2026-09-28 14:40:33
2
perplexbrand
pizza :
Mbona kama naongelewa hapa 🥹🥹🥹🥹
2026-10-08 10:34:45
2
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About