@sheikh_luqmantz:

SHEIKH LUQMAN MASOUD
SHEIKH LUQMAN MASOUD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 September 2026 11:51:25 GMT
25542
2070
156
229

Music

Download

Comments

ms.azzah2
Ms azzah 😘...🌹 :
shekhe me naomba kazi niludi Tz 🙏🏼[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-18 16:29:00
6
mama.wawili460
mama wawili :
watuache tupumue hukum anatoa mungu sio wao
2026-09-18 15:59:31
10
peoples.favorite2
people's favorite :
mimi nitafutiwe mume nije nikae Tanzania nitulie
2026-09-18 15:54:05
12
shuustaraoutfit
@shuu stara outfit :
teeem hamam tumefikiwa😂😂😂 sheikhe tusamehe dili na ostadhi juma namusoma.atoe bilion 5 zetu hatumsamehi
2026-09-18 15:27:16
13
user8573151756195anishmu
anishmury 🤗 :
eheee mtume subuhana allah😳 yarabi tusamehe wajawako maisha magumu sasa jmniaaah 😔🤲
2026-09-18 16:38:39
3
siraajumansab
siraajumansab :
majibu yaliyotolewa hayapo sawa. 1.huyo mwanamke wakati akisafiri hayuko peke yake,ndani ya ndege kuna watu kibao. 2.kazi za ndani hapa Tanzania, hakuna mfanyakazi wa ndani anaelipwa wastani wa laki mbili kwa mwezi. sanasana ni elfu 50,60,70,80-mpaka laki moja. kiukweli mshahara kama huo hauwezi kumpa nafasi ya kufanya chochote cha kujikimu. kuhusu hayo matatizo ya mabosi hayapo nchi za kiarabu pekee,ni dunia nzima,hapahapa Tanzania kumeshatokea udhalilishaji na mauwaji pia. ikiwa unayo majibu mengine tuletee na huyo alieuliza swali,aweke sawa swali lake,kufanya kazi sio Oman tuu.
2026-09-18 13:43:10
5
bint.pole.to
bint pole🇹🇿 to🇴🇲 :
Jamani tunasubili hzo hukumu kwa mungu sio binaadamu mungu ndo kila kitu hapa Fulusi ya halali tu basiiiii
2026-09-18 16:14:26
4
mariyam.rm7
maryam💞🫂💫 :
subhanallah allah atusamehe ila mm nikirudi tu tz allahuma amin ntaolewa ntulie na mme wangu biidhin allah❤️‍🩹🙏🤲🤝ila kuhusu boss alhamdulillah 😊
2026-09-18 17:06:41
3
mariamdubai0
Mariam :
Nakuja baba nisaidie kazi naludi baba
2026-09-18 15:31:12
3
mamuh065
@mariam💝💝💞 :
shekh wew ngoj ninyamaze
2026-09-18 19:01:54
1
ashah.ally7
Ashah Ally :
siwezi kufa njaa wakati niko naviungo vyangu kamili wacha tufanye kazi shekhe
2026-09-18 16:21:50
2
nasma.hasan3
🇹🇿✌️🇸🇦💪🇵🇸✌️🇶🇦 :
naomben mnipe msaada wa kunirudisha na mniajir ili nikidhi mahitaji yanayonikabili tafadhali 🙏🏻
2026-09-18 16:20:52
1
user9751581571454
Mimi :
Mim nitaftie mume nirudi hata leo
2026-09-18 16:27:11
1
hidayaseleman2
hidayaseleman695 :
mumeanza kuingilia maisha ya watu sasa😂😂😂😂
2026-09-18 16:19:19
1
user81253461219027
ukht_H :
shekh Allah aalam!!!kw sababu ukitizama kuna wengine hatuna watu wa kutufqnyia na wtt. unafikiria mshahara wa elfu 60 au 70 utatoshq kulisha na kusomesha wtt.Mungu hajakatazq kutafuta rizki halali.sheikh mie nije nifanye kazi kwako unilipe laki 7 tu kw mwezi narudi Afrika
2026-09-18 18:26:37
1
12kombo
jijaa :
huu mshahara tunaolipwa akuna mtu tz anaweza kutupa at ukiwa mfanyakazi wa Nandi au diamond😁
2026-09-18 18:51:22
1
boss.nanh232.s
boss nanh232 😍 دظفة :
ndio maaan mchumba wangu hatkiii kuskia nirudiii arabuni
2026-09-18 17:06:17
0
neema.ibrahim5
Neema Ibrahim :
shekhe ungejua tunayo pitia kwenye hizo ndoa weachat ndoa zamoto hamna anaependa kuja kuteseka Oman shida na matatizo ndio zinatuleta Oman 🤒
2026-09-18 16:46:42
1
user4437872246321
Mwajey♥️🌹 :
subhannallah🤦 shukran shekh
2026-09-18 13:33:58
3
yilmazabeidbukhet
yilmaz🌾abeid🌾bukhet :
mwamba hyu hap wa kimataifa shekh nurudini kishki Allah amhifadhi
2026-09-18 14:13:18
2
ayonikhalfan
ayuni :
kwahy kama wanaume wametuacha tufanyaj tukikaa tz tukianza kujiuza munaongea. sku ya mwisho itajulikana mambo tuliyoyapitia kwenye ndoa hakuna mtu anajua hv hatuwezi kuacha kuja kujitafutia kwaajili ya watoto
2026-09-18 14:55:55
1
yaslahallyismaili
yaslah99 :
me nkinisaidia shida zangu naacha kufanya kazi ughaibuni 🥰 baasi
2026-09-18 17:29:02
2
zulekhat02
zulekhat :
yaarabi tulinde na fitna,tutimizie haja zetu turudi salama
2026-09-18 19:15:20
1
naima.kigundula
Naima wangu :
Shekh nàmbaa ajira bc nirudi oman
2026-09-18 19:59:56
0
inkotanyi2020
Rwandan :
shekh wetu tunamukumbuka rwanda tunamuomba atutembelee rwanda,tunamukumbuka sana kigali
2026-09-18 13:03:13
0
To see more videos from user @sheikh_luqmantz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About