@john_madeje: ✅VIWANJA HIVI VIKO DODOMA CHAMWINO IKULU PEMBENI YA CHUO KINACHJENGWA. VINAFAA KWA MATUMIZI YA KUJENGA VITU VYA BIASHARA KUSUPPORT CHUO KINACHOJENGWA MFANO.. ✅Hostel,guest ✅Frame za biashara nyumba zankupangisha ✅bar ✅hotel ✅maduka ya madawa na maabara ✅wengine wananunua ili chuo kikifunguliwa mwakani wauze kwa bei nzuri wapate faida zaidi. ❌Kwa wawekezaji wenzangu wanaotaka kuwe majirani zangu na tumiliki wote na tufaidike wote nakupa hivi viwanja vyangu baadhi sio vyote nauza so atakae wahi ,ushindwe wewe kuchangamkia fursa leo ✅HATI BURE ✅Cash: TSh 10,000 kwa m² ✅Miezi 6: TSh 12,000 kwa m² ✅Mwaka 1: TSh 13,000 kwa m² ✅Awamu: malipo ya kuanzia ni 20% ya bei yote. Wahi kiwanja chako leo wasiliana nami kupitia (+255) 0757933264 #biashara #ujasiriamali